Ni nyimbo nzuri but nasita kukubali ni kuwa ameurudia wimbo ule wa jumbe sbb amechukua maneno machache sana. But huu ni ushahidi mwingne kuwa wazee wetu walikua ni watunzi wazuri sana wa nyimbo. Ushasikia mwanamuziki wa 'zamani' ameirudia nyimbo ya mwanamuzki wa 'sasa'.
Ukitaka kulìhalalisha jambo lihusishe na dini, ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unafanywa na Israel unaonekana ni sawa sbb ya 'utakatifu wa kidini'. Suala hili linatakiwa kutatuliwa na sheria za kimataifa na si vifungu vya Quran wala Biblia.
Mengi uliyoyaeleza hapo ni porojo za vijiweni na pia mengine yanahusiana na ushirikina.
1. Maiti husafishwa na kinyesi tumboni huondolewa. Hii inaivnza maiti isiharibike haraka. Na kisha hupakwa marashi maalum. Maji yote yanayotumika humwagwa kwani ni uchafu.(kama yakitumiwa na binadam huo ni...
Dah! Nimekumbuka mbali sana, Urambo primary school, milambo stadium enzi za tim ya Eleven stars, Relini. Jamhuri by night ndio ilikua disco.
Siasa za urambo zilitawaliwa na familia ya marehem 2 by 3.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.