Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

Israel ndio taifa la kwanza kubwa na lakuheshimika duniani, kama hufaham tambua kwamba lilikuwepo hata kabla ya kuzaliwa kwa YESU zaidi ya miaka elfu mbili iliyopita (soma ufaham) hivyo sio kitu cha ajabu kusikia idadi hiyo ya miaka, sorry for the truth
Israel ilitawanywa kati ya mataifa na huo mwaka 1947/1948 walikua wanarudi katika maeneo yao ya asili/urithi.
Tatizo ni unapoongelea Israel unazungumzia makabila 12 ambayo yalikuwa tofauti na yaliishi.maeneo tofauti kulingana na kazi zao. Kabila la yuda (Judea) ndio lilikuwa Jerusalem... Kama empire ilikuwa vast...
 
MKUU ISRAEL, BOKO HARAM, AL QAEDA, ISIS , AL SHABAAB WOTE NI MAGAIDI NAWALAANI.....MIMI MTU YOYOTE MUOVU NA MUUAJI NAMLAANI HAIJALISHI NI DINI GANI....WOTE HAWA NI MAGAIDI WA KULAANIWA!

Upo sahihi!

Mimi pia nawalaani waanzilishi wa ugaidi popote pale duniani au hata kama ameshakufa.

Katika orodha yako hapo juu umetaja makundi mengi ya Kigaidi ila muasisi wa ugaidi yule jamaa aliyetangaza dini kwa Upanga na kuuwa watu wenye imani tofauti na yake, ndo wa kwanza kulaaniwa.

Namlaani siku zote hata huko alipo laana zimfikie maana ndo chanzo cha ugaidi na mauaji yanafanywa na watu wake waliobakia hapa duniani.
 
_99147253_mediaitem99147252.jpg

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa wapalestina ni lazima wakubali kuwa Jurusalem ndio mji mkuu wa Israel ili amani iweze kupatikana.

Netanyahu alisema Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3,000 na haujakuwa mji mku wa watu wengine.

Aliongea huku maandamano yakiendelea kwenye ulimwengu wa kiislamu kufuatia hatua ya Marekani kuutambua Jurusalem kuwa mji mkuu wa Israel.

Ghasia zilizuka karibu na ubalozi wa Marekani nchini Lebanon na kwingineno siku ya Jumapili.

Jerusalem kwenyewe, mpalestina mmoja alikamatwa kwa kumdunga kisu na kumjeruhiwa vibaya afisa wa usalama wa Israel karibu na kituo kimoja cha basi.

Akiongea mjini Paris baada ya mazungumzo na rais wa Ufaransa Emmauel Macron, Bw Netanyahu alisema kuwa jitihada za kuwanyima wayahudi mji wa wa Jerusalem ni kitu kibaya.

"Unaweza kusoma katika kitabu kizuri zaidi, kinaitwa Biblia, alisema. Unaweza kuyaskia katika historia ya jamii wa wayahudi kote duniani… Ni wapi tena kuna mji wa Israel, isipokuwa Jerusalem?

Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000


JERUSALEM UMEKUWA MJI MKUU WA WAYAHUDI HIVI , KWANI MIAKA 3000 KULIKUWA HAKUNA HAYA MAMBO MPAKA WALIPOINGIA WAYAHUDI NDIO YAMEANZA


 
Anasema umekuwa mji wa Wayahudi kwa miaka 3000, Kumbe siyo wao toka dunia imeumbwa, Sasa Wanapata wapi uhalali kuwafukuza wale waliokuwepo hapo Jerusalem kabla yao?
 
Ukitaka kulìhalalisha jambo lihusishe na dini, ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unafanywa na Israel unaonekana ni sawa sbb ya 'utakatifu wa kidini'. Suala hili linatakiwa kutatuliwa na sheria za kimataifa na si vifungu vya Quran wala Biblia.
 
Netanyahu is a maniac evil

goes underground on the recent Israeli attack on Gaza. Norman Finkelstein, author of ‘Method and Madness - The hidden story of Israel's assaults on Gaza’, says the Goldstone report was 'devastating' in its conclusion that Israel was trying to punish and humiliate the citizens of Gaza, and that Israel has a 'maniac' for a head of state.
 
Ni kweli Benjamin Netanyahu yupo sahihi kabisa.

Mwaka 957 BC(kabla ya Yesu) Israel ilijenga hekalu lake la kwanza Yerusalem

Mwaka 352 BC (kabla ya Yesu) Israel ikajenga hekalu lake la pili Yerusalem

Mwaka 691 AD(Baada ya Yesu) Msikiti wa Dome of the Rock ukajengwa juu ya hekalu la kwanza

Mwaka 705AD(Baada ya Yesu)Msikiti wa Alqsha ukajengwa juu ya hekalu la pili.

Sasa nani anatakiwa alalamike,nadhani ni Israel,lakini Israel mwenye haki amekua mstaarabu ila huyu mwingine anayesema ni dini ya amani anafanya fujo na ugaidi kote duniani.
Waarabu wakorofi sana hata pale Istanbul Uturuki walibadilisha kanisa lililojengwa na warumi kuwa msikiti. Mpaka leo upo huo msikiti kama kivutio cha utalii.
 
HIO SI PRIORITY TENA SASA HIVI PRIORITY NI iRAN,waarabu wako tayari kuungana na israel against iran, si umeona wamelilaan tamko la trump kwa sentensi moja moja tu, yaani malaysia na indonesia kumekuwa na maandamano makubwa kuliko dunia ya kiarabu
Waarabu hawana umoja. Hao Saudia wenyewe ndo marafiki wakubwa wa Marekani.
 
Back
Top Bottom