Recent content by The Pope

  1. The Pope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini madini hayataki uchafu wa zinaa?

    😄😄😄 madini ni treasures na treasures nyingi hasa zinazotoka ardhini zimefungamana na Imani za ancestors na zinalindwa sana so ili uzipate lazma uwe msafi la sivyo itakuwa shida kuzipata inasemekana Zina tabia za kuhama hama hasa kama Kuna uchafu wa kiroho,,Nb: not proven 😄😄
  2. The Pope

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kisheria kwenye maeneo haya kuhusiana na ubakaji

    1.kosa lake mwanafunzi kujihusisha na mapenzi lakn si ubakaji mana kwa sheria za tanzania mwanaume habakwi na mwanamke 2. Hapo kosa ni ubakaji, mana mwanafunzi ukijihusisha na mapenzi ni ubakaji haijalishi umri mana sheria ya elimu inatambua mwanafunzi ni hawez kuwa na hiari yak kwahy kijana...
  3. The Pope

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

    Anawekewa tu sherehe na sio kwasababu et darasa la saba ni level kubwa sana kielimu iheshimiwe sana au kapambana sana milima na mabonde hapana, ila lengo ni kuwawekea kumbukumbu nzuri watoto kwa kuhitimisha hatua moja na kwenda nyngne kielimu,,nkiangalia picha zangu za graduation darasa la saba...
  4. The Pope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti vyuoni wanachapika sio masihara

    Binti kutoka na bikra chuoni sio mchezo huyo apewe tuzo kabsa,,kule kuna kila aina ya ushawishi demu kutoboa ngumu. Nakumbuka nilivyombikiri certificate ana miaka 16 tu bdo wamoto tu afu anakwambia nlipanga nkifika chuo mahusiano ntaanza nkifka bachelor na atakaenibikir nd atanioa hahaha,,mpaka...
  5. The Pope

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Simba day na msimu mpya 2025/26, unatamani Simba iwe ya aina gani kiuchezaji??

    Natamani simba iwe inashinda tu mana ikifungwa tu haijalishi imechezaje tunashambuliwa ata na mashabiki kelele hahaha
  6. The Pope

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

    Kwahyo kwenye Mkutano wa yanga ndo wamesema kuwa yanga wana thamani ya 100b afu simba 20b au??
  7. The Pope

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Anajua ata umuhmu wa utawala bora kweli huyu?? Ngoja siku wamlimbikizie makodi kwenye mambo yake aanze kulia mitandaoni akihtaji sympathy and mass support kwa mashabiki nd ataelewa
  8. The Pope

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa morocco wanawezaje kuwa na timu ya taifa inayoelewana na yenye muunganyiko kiuchezaji namna hiyo?

    hili ndo jibu sahihi kwa asilimi 75+
  9. The Pope

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wokosoaji wa CCM wanaishambulia kutokea Mafichoni tofauti na Gachagua wa hapo Kenya?

    Hivi Lissu nae anatokeaga mafichoni anapongea?
  10. The Pope

    JamiiForums Tanzania Je, Ninunue Simu Gani , Samsung au Google Pixel ?

    Nishaurini kati ya samsung s10+ na google pixel 6pro,, nachopendelea mwonekano mzuri kwa nje,isiwe nzito au nene,napendelea edged screen,,
  11. The Pope

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis Kate wa na Simba

    mwenyew nashangaa yan hadi leo hichilema awe hajanusa hii harufu? Nina wasiwas na hii breaking news
  12. The Pope

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis Kate wa na Simba

    Kwahy simba wamevunja mkataba wake na kumwacha aende bure??
Back
Top Bottom