T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,107
- 30,528
Hakuna uhusiano wowote,ni utapeli wa waganga wa kienyeji wa majini ya kienyeji
Dhahabu haipelekwi Canada bwashee, hata Barrick sio ya m canada 🙂🙂wanakomba mali bila hata kukaguliwa kupeleka Canada na kiwanja kipo ndani ya mgodi!
Kuna zile guest zetu za mabati na mabanzi,wachimbaji wadogo wanagegedana haswaUlishawahi kufika migodini kwa wachimbaji wadogo wanaoamini hizo mambo?????
NIkwambie tu ngono na uchimbaji huwezi kuvitenganisha!
'Azuma' kwa maana ya kavu kavu?huko migodini wanadinyana balaa azuma zinaliwa kama njugu, na wengine wanasema ukimwi umejaa pia maeneo ya migodini
Dahh nimecheka Sana 🤣Imani tu kwa uchimbaji wa kiswahili wa kubahatisha na kuamini bila ushirikina hamna mali kibongobongo, wazungu wa barick wanazichapa deile na wanakomba mali bila hata kukaguliwa kupeleka Canada na kiwanja kipo ndani ya mgodi!
Wabongo na sangoma damdam dada yangu na superstitions za kutosha.
Wenzao Kabla hawajaingiza mtambo wanajua Kbs kuna kilo ngapi hapa, Wabongo na sururu zao wanavaa hirizi na kuchinja kondoo ivute gold😀
madini yana nadharia nyingi sanaHakuna uhusiano wowote,ni utapeli wa waganga wa kienyeji wa majini ya kienyeji
Fafanua vizuri mkuuMwilli wa mwanadamu haujawahi kufa toka dunia imeumbwa
Ila umepata mabadiko ya kigene kwa muda mrefu
Na kila umbo la kiumbe mwenye umbo ni mkusanyo wa kijamii unaotiishwa kwa Either moja
Ila kwakuwa ulimwengu unaonekana mkongwe japo si uhalisia
Kuna jamii za kiroho zimekataa kurudi mfumo Wa kujitiisha na kujipa mamlaka ya kusimamia sheria za muenakano maeneo husika
Na ndio zinazofahamu nguvu ya mavutano ya magimba ya ulimwengu na kutoa izo siri kwa watakao watumikia
Ila ukijipata hawana lolote, ila viumbe vya kuogofya
Hasa uchawi,nipo migodini nagegeda fresh tu na madini yanapatikanamadini yana nadharia nyingi sana
so unayapata??Hasa uchawi,nipo migodini nagegeda fresh tu na madini yanapatikana
That’s pictorial language brother acha kukariri, basi inapelekwa sokoni, happy now? Anyway hiyo haikua hoja ya muanzisha threadDhahabu haipelekwi Canada bwashee, hata Barrick sio ya m canada 🙂🙂
hiyo ni dawa'Azuma' kwa maana ya kavu kavu?
Hakika avatar yako inasadifu ulichoandika.Mwilli wa mwanadamu haujawahi kufa toka dunia imeumbwa
Ila umepata mabadiko ya kigene kwa muda mrefu
Na kila umbo la kiumbe mwenye umbo ni mkusanyo wa kijamii unaotiishwa kwa Either moja
Ila kwakuwa ulimwengu unaonekana mkongwe japo si uhalisia
Kuna jamii za kiroho zimekataa kurudi mfumo Wa kujitiisha na kujipa mamlaka ya kusimamia sheria za muenakano maeneo husika
Na ndio zinazofahamu nguvu ya mavutano ya magimba ya ulimwengu na kutoa izo siri kwa watakao watumikia
Ila ukijipata hawana lolote, ila viumbe vya kuogofya
Ndo ushangae mleta Mada anasema madini hayataki migegedo,wakati hao wachimbaji ndo vinara wa ugegedanaji!
Majini huchukulia kwamba madini/vito/vitu vya thamani kama ni mali na haki yao peke yao bila mshirika.Hivyo basi, binadamu akimiliki halafu akafanya na zinaa huyachukiza majini kwa kuona halali yao imechafuka.Nataka nijue kwanini, Nimeambiwa ila sijapewa sabbu
Kama ni mapenzi ni usiwe nae au awe mmoja na kama ni mmoja na yeye asigawe
Uhusiano wa madini na mapenzi ukoje??
Na je ni madini tu ...uchimbaji na uuzaji? au kuna vingine visivyohitaj mapenzi ya uchafu yaani zinaa
Ni mada hii ila mimeanzia mbali kwa kuwa kichwa kimewaka broni mada hii hii au kuna issue ingine unaongelea?