Recent content by The Pentagon

  1. The Pentagon

    Hii imeakaaje kwa wenye bima za afya?

    Wakuu hivi kama una bima ya afya halafu dispensary wakadai Malipo kwa kipimo fulani ni sahihi? Tena 3000 tu ni sahihi kweli au njaa tu nipo dispensary nilete mgonjwa na ana Bima
  2. The Pentagon

    Nini kazi ya hizo Sayari zilizobaki ukiondoa Dunia?

    Hakuna aliekanyaga ardhi ya mwezini kwanza
  3. The Pentagon

    Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

    Hivi mwezini upepo una vuma sana eh kwa vile hakuna kizuizi cha huo upepo? Lowasa alikuwa sawa kuweka kipaumbele cha elimu elimu elimu
  4. The Pentagon

    Namshukuru Mungu kwa graduation yangu

    Ww dogo bnq yani badala ukazane na msuli we una post tu jf?
  5. The Pentagon

    Halotel (Viettel) yaigomea Serikali ya Tanzania

    Hzi line zinauzwaje i mean bei?
  6. The Pentagon

    Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

    Zanzibar ni too blind na dini kwa kweli hili ni shida ni ngumu kupiga hatua kama umekumbatia dini sana
  7. The Pentagon

    Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

    Watu tunasaka dawa tuachane na usingizi kabisa we unatafuta dawa ulale sana? Sasa nini faida ya usingizi mimi natamani kuwa active 24Hrs ntalala nkifa
  8. The Pentagon

    Kwanini hakunieleza kama ameolewa hadi nabondwa kama mtoto?

    Ww unasema wiki tatu? mimi nimetoka job saa tisa nimempa gal lift nkamueleza kuna sehemu nipitie kama hatojali niende nae halafu ntanpeleka mpaka tumeenda huko nimegegeda kabisa saa moja nkampeleka mpaka karibu na kwake na aka tell ana mume wake, hvi mna wazimu gani na magari?
  9. The Pentagon

    Pugu Road ilikataa jina la Nyerere Road na daraja la Kigamboni litakataa kuitwa daraja la Nyerere

    Nchi hii kipaumbele chake ni siasa ,sasa sijui kuna taifa lilisonga mbele kwa kuweka siasa ebu angalia TV uone mambo gani yanapewa airtime hakuna makala murwa za Uchumi wala Technology yani ni siasa tu
  10. The Pentagon

    Yahusu kuchanjiwa muku

    Sawa mkuu nkikumbuka ntakutajia. hio mzugwa nayo ina muku japo si sana but kwa inshu za malaria na homa mzugwa ni the best ni Chungu sana mzugwa kama ulivyosema
  11. The Pentagon

    Yahusu kuchanjiwa muku

    Hapana mkuu sio mzugwa hio mzugwa ni ya malaria, Hio ya muku ya kunywa hata mimi nilitumia ni mti fulani mgumu hata upige kazi uwe hoi vipi kesho unapga glass moja asubuhi unakuwa fiti huichemshi unaloeka tu huo mzizi
Back
Top Bottom