Congradulation, dont waste your time katika oirum, tembea speed ya light kwenye masomo yako kwa sasa. Matokeo yanapokua sio mazuru utaanza kufikiria muda uliokua ukiupoteza
Hongera kijana! Kwenye picha nakuona kama wewe ni ME.Vizingiti vya kusoma kwa wavulana ni vichache sana kulinganisha na wasichana.Kwa hiyo ungekuwa msichana ningekumwagia pongezi na hongera nyingi zaidi!
kwa wale waliohitaji mrejesho matokeo katika post yangu hii,matokeo yapo kama ifuatavyo
English language=D
Geography=C
History=C
General studies=S
Division 2 point 10
Examination index is S3016/0700 kibasila secondary school thank God kwa hiki ulichonipa
Hongera umejitahid, lakin hakuna aliyeomba matokeo yako wala index no kuprove na kam utaendelea na tabia hizi za kujishoo shoo huko juu utalicheza disco
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.