The Pentagon
Member
- Apr 20, 2016
- 19
- 16
Wakuu hivi kama una bima ya afya halafu dispensary wakadai Malipo kwa kipimo fulani ni sahihi? Tena 3000 tu ni sahihi kweli au njaa tu nipo dispensary nilete mgonjwa na ana Bima
Kwa niaba ya mtubima niyako au ya mgojwa au umeandika kwa niaba ya mgonjwa
Umemaliza mkuu. Asante sana! Naona kaingia mitini, hatarudi tenaMtaacha lini kulalamika,yaani ujue pamoja na bima yako ya afya kuna huduma nyingine zahanati hazipo kama hiyo ya maabara unakuta kituo kina darubini ila serikali haijaajiri mpimaji sasa kwa taadhima kamati ya afya ya zahanati kwa kushirikiana na uongozi wa serikali ya mtaa wanaamua jinsi ya kuboresha huduma kuwa ni labda kuajiri mtu sasa atalipwaje ndio linakuja suala la mwananchi kuchangia baadhi ya vipimo na sio vyote sasa itategemea unapima nn na nn ndio gharama zako zitakavyokua na fahamu pia huko zahanatini sio kila kipimo utakacho kupima serikali ina-supply...big no,ni hizohizo gharama mchangiazo ndio hufanikisha yote hayo sasa msitake kugeuza zahanati kuwa refferal hospital,Afya yako msingi wako sasa cheza na huu ubure unaohubiriwa majukwaani bila kufahamu uhalisia wake na pia kila upatapo tatizo huko uliza hapohapo utafafanuliwa vizuri sana kuliko kila kitu mtandaoni hata kama kuna utandawazi
Wengine anabeba ki NHIF chake mbio dispensary ya private na anahitaji vipimo/madawa ambayo kimsingi ni level ya hospital ya mkoa au taifa then ukimwambia anatoka juu eti "Nina bima na wanalipisha"Mtaacha lini kulalamika,yaani ujue pamoja na bima yako ya afya kuna huduma nyingine zahanati hazipo kama hiyo ya maabara unakuta kituo kina darubini ila serikali haijaajiri mpimaji sasa kwa taadhima kamati ya afya ya zahanati kwa kushirikiana na uongozi wa serikali ya mtaa wanaamua jinsi ya kuboresha huduma kuwa ni labda kuajiri mtu sasa atalipwaje ndio linakuja suala la mwananchi kuchangia baadhi ya vipimo na sio vyote sasa itategemea unapima nn na nn ndio gharama zako zitakavyokua na fahamu pia huko zahanatini sio kila kipimo utakacho kupima serikali ina-supply...big no,ni hizohizo gharama mchangiazo ndio hufanikisha yote hayo sasa msitake kugeuza zahanati kuwa refferal hospital,Afya yako msingi wako sasa cheza na huu ubure unaohubiriwa majukwaani bila kufahamu uhalisia wake na pia kila upatapo tatizo huko uliza hapohapo utafafanuliwa vizuri sana kuliko kila kitu mtandaoni hata kama kuna utandawazi