Recent content by the paradox

  1. the paradox

    Nokia smartphones za Android zinapatikana wapi?

    Samahani wandugu, naomba msaada wa wapi zinapatikana hapa Tanzania, simu za Nokia android na bei zake. Wasalaam
  2. the paradox

    Hivi Bunge la Tanzania linaweza kumbana Rais kama Bunge la Afrika Kusini?

    Tatizo ni wabunge wenyewe. Tumekaa kichama zaidi kuliko maslahi ya nchi. Mtu anatanguliza chama mbele kuliko nchi. Yuko tayari kulinda uchafu wa chama Kwa gharama ya wananchi. Kwa kweli nina hasira na wabunge sana. Kwa bahati mbaya, hata walio wasomi ni shida. Hakuna aliyejichanganua Kwa uwezo...
  3. the paradox

    Msaada wenu tena nipo njia panda

    Niwe spiritual kidogo. Wewe umeachana na mwenzako ndani ya wiki mbili tuu. Huyo jamaa kakaa kwenye ndoa halali kwa miezi sita tuu. Halafu mnataka kudanganyana mnapendana! I doubt your motives. Both of you. Take time to marry a drop out. Yaani hapo hamna kitu. Nakushauri achana naye au take the...
  4. the paradox

    Nimemvumilia mke wangu ila sasa naona uzalendo utanishinda,ushauri wa mwisho unahitajika

    Stop that bro. Acha kiburi cha uanaume. Kata mawasiliano ba bit juu. Achana na wake za watu. Mbaya mno mno. Inaumiza sana. Inaonyesha pia hauko makini. Ndoto za utotoni zilishapita, yeye ni mke wa mtu, let her be. Think of your life. Kwa nini kumendea vya watu? What goes around comes around...
  5. the paradox

    Uvumilivu unanishinda, nashindwa kutunza usichana wangu

    Congrats for the battle. Trust in God. Its sin to have premarital sex. Its really tempting basing on our social structure that puts much emphasis on sex. Keep on fighting. Ask God to give you the right man. Those who thought they were trying ended up regretting. The sign of a true man is the one...
  6. the paradox

    Nina ujauzito wa mume wa mtu, nifanyeje?

    Pokea mtoto kwa furaha. That's already a fact. You can't deny it without being cruel. So just humble yourself and take responsibilities.
  7. the paradox

    Kisa kamili cha mapenzi ushauri unahitajika

    Nadhani issue ni upendo. Mmekua pamoja kwa miaka mitano. Je, imekua ni miaka ya furaha na amani? Upendo, kujituma, kujitoa sadaka? Je, mmefunga ndoa? Dhehebu gani? Ushauri wangu mchukue mke wako. Vijana wengi sana wa kike wanalaghaiwa na wanaume. Wanabaki wameumizwa sana. Hivyo wengi sana...
  8. the paradox

    Huyu Dada vipi

    Acha urafiki na wake za watu. Kaa mbali na mke qa mtu. Mbaya sana maana lolote laweza kutokea
  9. the paradox

    Leo nimemsaliti mpenzi wangu sasa roho inaniuma hadi nakosa amani

    Usimwambie mke wako chochote. Italeta shida na huenda kama na yeye alikuwa anasumbuliwa mahali ikawa ndio mwanzo wa kufungua mlango. Mwonyeshe upendo zaidi
  10. the paradox

    Leo nimemsaliti mpenzi wangu sasa roho inaniuma hadi nakosa amani

    Tubu, mwombe Mungu msamaha kulingana na mafundisho ya dini yako. Amani ya kweli hupatikana kwa Mungu kwa wale wanaomwamini. Baada ya hapo, zingatia maisha matakatifu. Kama Mkatoliki ungama kabla hujakutana tena na mkeo. Ishi maisha yanayompendeza Mungu. Sali na soma maandiko matakatifu. Hata...
  11. the paradox

    Dkt. Slaa: Ninapokubaliana na kutofautiana na Magufuli

    Nakuunga mkono. His analysis is biased. How about Zanzibar? Demokrasia nchini ikoje? Muingiliano wa kimajukumu ambao ni hatari sana ukoje? Au anafurahia "anaodhani ni maadui wake" kunyimwa uwanja sawa wa kisiasa? Naona uchambuzi wake umekosa uhalisia. Anamuunga mkono Ili kuwaumiza waliomweka...
  12. the paradox

    Hongera Samatha Mbwana kwa kujenga nyumba

    Inatosha. Sii haba
Back
Top Bottom