Recent content by The mountain lion

  1. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Dah Nyerere alikuwa na kipawa cha kipekee kabisa. Halafu kuna mabwege wanataka kujilinganisha na huyu mtu.
  2. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!!

    Lisemwalo lipo.
  3. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Nikiwa na msichana namkinai, hivi nina pepo au ni tamaa tu?

    Ni pepo. Unahitaji kumpokea YESU kuwa mwokozi wako.Hali hiyo hutaisikia tena.
  4. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania ISIS ni zao la Mmarekani na Nato na Wadau wake

    Well said.
  5. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

    Inabidi aseme ukweli.
  6. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Russian airstrikes kill 2 ISIS commanders, 300 militants – Defense Ministry

    Mwanaume kashaingia sasa analipua majeshi feki yaliyotengenezwa na Marekani.
  7. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Ahsante sana kwa nukuu iliyotukuka.
  8. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunanyang'anywa Haki ya kufaidi Mali asili zenu

    Nazidi kuichukia serikali ya CCM.
  9. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Messi atakaporejea atamfikia C7 ktk magoli na kumpita!

    Kwa misimu mitatu mfululizo RONALDO anaingiza kwa kupachika magoli la liga na msimu huu utakuwa wa 4. Hebu tuache ushabiki wa kijinga tuongee ukweli na tuangalie takwimu sio unaongea tu. CR7 juzi tu kapiga bao 5 mechi moja au umesahau? Kama unapenda mabishano sawa lakini rekodi ya ufungaji...
  10. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Hivi CCM wanawalipa shilingi ngapi mpaka mnajitoa ufahamu hivi. JINGA kabisa wewe ina maana huoni mambo yote mabaya waliyotufanyia hawa mabwege? Halafu unakuja hapa kutuaminisha eti CCM iendelee tu. Watu kama nyie ni bora mfe tu maana hamna faida yoyote.
  11. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Iphone ni kitu kingine aisee usilinganishe na takataka za android.
  12. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mama mkwe kaahidi kuniroga, kunifunga jela au kuniua

    Nahisi ana matatizo ya akili huyo. Jaribu kutafuta wazee na wenye hekima waongee naye ujue ni kwa nini anafanya hivyo na kwa nini anakuchukia na kukutamkia maneno yote hayo. Hatua ya mwisho wachukue watoto wako kwa nguvu ili ajue ya kwamba wewe ni mwanaume na huna masihara katika hilo.
  13. The mountain lion

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa
Back
Top Bottom