ISIS ni zao la Mmarekani na Nato na Wadau wake

Status
Not open for further replies.

a.k.a_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
292
Reaction score
113
ISIS ni nani? lslamic State of Iraq and Syria au the Islamic State of Iraq and ash-Sham, Islamic State, au Daesh, ya Wahhabi/Salafi jihadist extremist
Umoja wa kikundi cha kigaidi ulioanzishwa mwaka 1999 na Abu Musab al-Zarqawi huko Iraq. Na sasa limekuwa tishio mashariki ya kati na dunia nzima.

Kukua kwa ISIS kulitokana na uvamizi wa majeshi ya Nato na Marekani nchini Iraq katika kumuondoa Saddam Hussein ila.
ISIS wamekuwa tishio zaidi duniani kwa sasa kuliko hapo mwanzo...

Kwa nini?
Nia ya kumuondoa Assad Syria ya Nato na Marekani pamoja na Wadau wao ndiyo chanzo cha kukua kwa ISIS kwa kasi ya ajabu!

Kivipi?
Wakati Asad anapigana na waasi ambao walichanganyika na ISIS kutaka kumpindua, mmarekani na Wadau wake na Nato walikuwa bize kuwa upande pinzani wa Assad na kutoa silaha kwa kutumia Saudi Arabia bila kujua silaha nyingi zilikuwa zikiangukia mikononi mwa ISIS. Leo hii ISIS kundi kubwa la kigaidi kuliko yote duniani na tajiri zaidi. inakisiwa ISIS wanazalisha zaidi ya milioni 3.8$ kwa siku kutokana na visima vya mafuta wanavyoshikilia mashariki ya kati na idadi kubwa ya waajiliwa wa kikundi hiki cha jihad.

Vita ya Mashariki ya kati tishio kwa dunia nzima sababu ya complexity yake. Miaka yote Israel na Palestina hawaelewani mpaka yesu ataporudi. Ugumu ni kuna timu mbili sehemu moja baina ya nchi zinazopakana Syria, Iran baba yao Mrusi halafu kuna Uturuki na Israel baba yao mmarekani na Wadau wake na Nato then kuna catalysts ndogo kama Iraq, Saudi Arabia, Lebanon, Jordan na wengineo.
 
Well said...Japo kuna watu narrow minded lk Goat wanajifanya hawajui nani yuko nyuma ya hili game...
US walipoivamia IRAK for the sake of finding weapon of mass destruction WMD waliua watu 1.5Milion achilia Afghanstan,LIBYA na sasa SYRIA...US kawaingiza hawa mbururaz wa ULAYA mkenge akijua kuna distance fupi sana na leo tunashuhudia ULAYA wanabeba burden ya wakimbizi uku US ikiwa haifikiki kirahisi....US bado anaendelea kuwaburuza hawa mbururaz wa ULAYA wakosane na RUSSIA uku ULAYA na URUSI zimepakana kwa mipaka VITA ikitokea hawa mbururaz wa ULAYA ndo watakao umizwa na nuclear arsenal sa RUSSIA....US hajaishia apo leo yupo na JAPAN,SOUTH KOREA,PHILIPINE nk akitaka kum contain CHINA na NORTH KOREA while these two countries are nuclear capable states Kikinuka watakaoumia ni hao Mbururaz...US hajaishia apo yupo middle east ambako yupo na Gulf Arab nations mf BAHRAIN, KUWAIT, SAUDI ARABIA, UAE, MISRI na non ARAB STATES such as ISRAEL na TURKEY wote hawa wakiwa against na IRAN while IRAN ina ballistic missiles capable of carrying biological and chemical and nuclear warheads capable of reaching in all middle east nations as well as some of Europe nations kikinuka si US atake athirika bali ni hizo nchi mbururaz wanaofata US na sera zake...Mpaka apo umeshajua Nani yuko nyuma ya ISLAMIC STATE uku dili kubwa za silaha zikitarajiwa sainiwa soon after this ATTACK
 
Hilo kundi liteketezwe maana Marekani na NATO walilianzisha kwa Lengo jema lakini limegeuka kuwa Adui.Kuna kila sababu ya Dunia kushikamana ili tulitokomeze na kuifanya Dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.
 
Uko sahihi kabisa, ni vizuri kuwataja vinara ni: Marekani, Israel, Uingireza, saudia na Uturuki.

the West completely miscalculated how the Middle East will be like, by imposing democracy.

By nature the people in middle east are very sensitive to 'higher power', Deity aka God.

Its either they follow religious leaders or submit to military regime.

Imposing democracy has been a total failure and that has made hardcore fundamentalist take charge and follow religious instructions like old time crusaders.

Yes, Islam is about love and peace but these people read the same pages, even in Christianity crusaders beheaded and slaughtered people who won't recognise Deity or didn't follow religion.

These attackers are fighting back democracy, that's all to it. The day we leave them and their way of life the better it will be for the rest of us.

There is no need to force them to accept democracy, they clearly don't want it!!!
 
Nawashangaa sana kwa nini wasimback Al assad hata kama katawala muda mrefu cha muhimu amani irudi syria,Kiukweli maadui wakubwa wa AL Assad ni hawa Is.
 
Sasa hao wahuni unaowatetea hawana auwezo wa kujua kama wanadanganywa na marekani.. wao hawana utashi wao..wanaamuliwa na marekani.. unapoteza muda kuwatetea hao wahuni mujahidin..dini yao ndicho chanzo cha vurugu na fucho..na mauwaji..
 
Amerika imelikoroga toka vita ya kumuondoa Saddam na waliambiwa wana mng'oa Saddam mmoja mtawatengeneza Saddam Mia moja ndiyo kinachotokea sasa na hata mgombea Urais Donald Trump amesema katika mikutano ya kampeni kuwa lilikuwa kosa kuwatoa madarakani Saddam Hussein na Muammar Ghadafi
 
Balaa limehamia ulaya hawajitambui mamilioni ya wakimbizi wanaofurika toka Syria wangapi kati yao ni wanachama wa ISIS
 
Hilo kundi liteketezwe maana Marekani na NATO walilianzisha kwa Lengo jema lakini limegeuka kuwa Adui.Kuna kila sababu ya Dunia kushikamana ili tulitokomeze na kuifanya Dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.

km unatak kuish kwa amani jiandae kwa vita
 
Hili kundi liliundwa na Marekani kwa kua wanajua makosa waliyofanya kule Iraq na sasa wametengeneza hili ili wao waweze kuepuka lawama, Makundi yote ya uasi kuna nchi wahisani nyuma yake hata hao Alshabab pia.
 
Kwa watu makini na wafuatiliaji wa mambo duniani,Marekani ni taifa HATARI sana kwa usalama wa dunia hii.Ila kwa kuwa taifa hili la kishetani ni hodari kwa kueneza PROPAGANDA za kuihadaa dunia,wengi hawajui kinachoendelea nyuma ya pazia.
 
ISIS ni nani? lslamic State of Iraq and Syria au the Islamic State of Iraq and ash-Sham, Islamic State, au Daesh, ya Wahhabi/Salafi jihadist extremist
Umoja wa kikundi cha kigaidi ulioanzishwa mwaka 1999 na Abu Musab al-Zarqawi huko Iraq. Na sasa limekuwa tishio mashariki ya kati na dunia nzima.

Kukua kwa ISIS kulitokana na uvamizi wa majeshi ya Nato na Marekani nchini Iraq katika kumuondoa Saddam Hussein ila.
ISIS wamekuwa tishio zaidi duniani kwa sasa kuliko hapo mwanzo...

Kwa nini?
Nia ya kumuondoa Assad Syria ya Nato na Marekani pamoja na Wadau wao ndiyo chanzo cha kukua kwa ISIS kwa kasi ya ajabu!

Kivipi?
Wakati Asad anapigana na waasi ambao walichanganyika na ISIS kutaka kumpindua, mmarekani na Wadau wake na Nato walikuwa bize kuwa upande pinzani wa Assad na kutoa silaha kwa kutumia Saudi Arabia bila kujua silaha nyingi zilikuwa zikiangukia mikononi mwa ISIS. Leo hii ISIS kundi kubwa la kigaidi kuliko yote duniani na tajiri zaidi. inakisiwa ISIS wanazalisha zaidi ya milioni 3.8$ kwa siku kutokana na visima vya mafuta wanavyoshikilia mashariki ya kati na idadi kubwa ya waajiliwa wa kikundi hiki cha jihad.

Vita ya Mashariki ya kati tishio kwa dunia nzima sababu ya complexity yake. Miaka yote Israel na Palestina hawaelewani mpaka yesu ataporudi. Ugumu ni kuna timu mbili sehemu moja baina ya nchi zinazopakana Syria, Iran baba yao Mrusi halafu kuna Uturuki na Israel baba yao mmarekani na Wadau wake na Nato then kuna catalysts ndogo kama Iraq, Saudi Arabia, Lebanon, Jordan na wengineo.
Mara zote watu huleta story kama hizi. Lakini haijalishi iwe imeletwa na Marekani au la, bado ISIS ni kundi la kigaidi. Hata watoto wanaweza zaliwa na baba mzuri sana, lakini baadhi wakakengeuka...
 
Well said...Japo kuna watu narrow minded lk Goat wanajifanya hawajui nani yuko nyuma ya hili game...
US walipoivamia IRAK for the sake of finding weapon of mass destruction WMD waliua watu 1.5Milion achilia Afghanstan,LIBYA na sasa SYRIA...US kawaingiza hawa mbururaz wa ULAYA mkenge akijua kuna distance fupi sana na leo tunashuhudia ULAYA wanabeba burden ya wakimbizi uku US ikiwa haifikiki kirahisi....US bado anaendelea kuwaburuza hawa mbururaz wa ULAYA wakosane na RUSSIA uku ULAYA na URUSI zimepakana kwa mipaka VITA ikitokea hawa mbururaz wa ULAYA ndo watakao umizwa na nuclear arsenal sa RUSSIA....US hajaishia apo leo yupo na JAPAN,SOUTH KOREA,PHILIPINE nk akitaka kum contain CHINA na NORTH KOREA while these two countries are nuclear capable states Kikinuka watakaoumia ni hao Mbururaz...US hajaishia apo yupo middle east ambako yupo na Gulf Arab nations mf BAHRAIN, KUWAIT, SAUDI ARABIA, UAE, MISRI na non ARAB STATES such as ISRAEL na TURKEY wote hawa wakiwa against na IRAN while IRAN ina ballistic missiles capable of carrying biological and chemical and nuclear warheads capable of reaching in all middle east nations as well as some of Europe nations kikinuka si US atake athirika bali ni hizo nchi mbururaz wanaofata US na sera zake...Mpaka apo umeshajua Nani yuko nyuma ya ISLAMIC STATE uku dili kubwa za silaha zikitarajiwa sainiwa soon after this ATTACK

Tangu ninapata fahamu hapa duniani cjawahi kuona uvamizi wa mmarekani kubadilisha utawala ambao umemalizika kama vizuri kuanzia Iraq Afghanistan Libya na kuingineko
 
Mara zote watu huleta story kama hizi. Lakini haijalishi iwe imeletwa na Marekani au la, bado ISIS ni kundi la kigaidi. Hata watoto wanaweza zaliwa na baba mzuri sana, lakini baadhi wakakengeuka...

Endapo marekani na Umoja wa Nato wasingetoa silaha kwa ISIS kupiga Assad Syria. Ukubwa wa ISIS ungekuwa 6-7% dhidi ya lilipo leo
 
Hilo kundi liteketezwe maana Marekani na NATO walilianzisha kwa Lengo jema lakini limegeuka kuwa Adui.Kuna kila sababu ya Dunia kushikamana ili tulitokomeze na kuifanya Dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.
Lengo jema la kuuwa waislam 1.5m? Au lengo jema lipi?
 
ISIS = Uturuki
Uturuki ndio oksijeni ya hao jamaa.
 
Kwa watu makini na wafuatiliaji wa mambo duniani,Marekani ni taifa HATARI sana kwa usalama wa dunia hii.Ila kwa kuwa taifa hili la kishetani ni hodari kwa kueneza PROPAGANDA za kuihadaa dunia,wengi hawajui kinachoendelea nyuma ya pazia.

Well said.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom