Sijui unataka kusemaje hapa. Hamas ndo jeshi pekee la wapalestina. Tena ni jeshi ambalo watu wake wamejitoa kizarendo dhidi ya sheria za Israel zinazoikataza Palestine kutomiliki jeshi lolote. Kumbukumbu ni kuwa Israel ya leo ni Taifa teule la umoja wa mataifa kwa azimio la 1945 wala si Taifa...
Yawezekana tu. Mungu ni mwenye rehema sana. Km sivyo tungeshaangamizwa kitambo sana kwa maovu yetu mengi. Hata hivyo yoote yaliyopita, yaliyopo na yajayo yatafunuliwa yoote siku ya hukumu. Kila wazo na tendo, liwe jema au baya, yatawekwa wazi. Walioipokea Neema ya Bwana Yesu Kristo wataokolewa...
Nadhani nami pia nahitaji elimu zaidi juu ya malimwengu (galaxies)
1. Tofauti ya universe, galaxy, constellation, star, some sort of those nebula and star dusts ni kipi na kipi siyo kipi.
2. Ni kweli Milky way Galaxy (njia ya maziwa ndiyo seven sisters constellation (kilimia)?
3. Our universe (...
Kila chochote kilicho na ubaya, kina uzuri ndani yake. Na kila kilicho kizuri sana kina ubaya pia.
Hongera kwa ulichokiona na kujifunza huko Cameron.
Mimi binafsi napenda mifumo huria. Mfano zogo kwenye daladala, ujuajijuaji, kudandia story nk.
'Hofu iko pande zote"
Pole sana mkuu.
Hayo yapo sana. Mi huwa nahisi wauza nafuta wanazichezea pump kiasi kwamba hata wakaguzi wa vipimo huwa hawang'amui ama wanakula nao maana utakuta ukaguzi wameufanya jana na kuweka stika zao/ wakala wa vipimo lakini bado hakuna mabadiliko.
Ina kera sana hii hali.
Mkuu nakubaliana na mawazo yako na nimeyapenda.
Katika maelezo yako nimeuona moyo wako ambao ni wa upole sana na wa dhati kweli kweli.
Itoshe kusema hivi hayo uliyoyasema ndiyo yaliyokuwa yanafanyika. Vijana wanapambana bhana si kwa kuandika mtandaoni km unavyowatuhumu. Vijana baadhi yao wana...
Haya mambo ni magumu sana.
Nchi yetu imejipambanua kuwa ni ya mfumo huria ktk biashara n. k. But inaonekana misingi hii ya soko huria/upepari inaingiliwa kwa kasi na mfumo muungano/mchanganyo (mixed economy).
Katika mfumo mchanganyo sharti serikali kuingilia biashara hasa kuipitia bei na...
Real umeongea haswaaa.
Kuchunguzana ni kwenye uchumba. Omba simu yake, soma sms zake, uliza ulikuwa unaongea na nani, jioni/usiku omba simu ya mchumba wako ili ujue nani anapiga mara nyingi hasa mida mibaya.
Ila hapa nashauri usipokee simu zake ktk kipindi hiki cha uchumba (utaumizwa ukifanya...
Jamaa pima mwenyewe lipi ambalo utalimudu kwa asilimia kuanzia 80%.
Shughuri za kilimo zinahitaji uangalizi wa hali ya juu sana. Kuna mambo ya mbolea, madawa, kupalilia na kuvuna. Yoote hayo yanahitaji taimingi. Ukikosea/kuchelewa kidogo tu ndo tayari inaweza pelekea hasara furani.
Km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.