natural girla
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 224
- 276
Ila inauma bhana lazm nihis vibay kwan anaficha nin akat me ndo msiri wake
Yaani wewe kila kitu Ni kulinganisha na wanaume.Swali ni je hilo hata wanaume wanaweza kufanya? Yaani mke simu inaingia anaenda kuongelea chumbani halafu mume kakaa tu hana hata wasiwasi na wala haulizi ni nani aliyepiga simu?
Wanawake tunaweza ila na wanaume wanaweza? Na wao wakiweza basi hakika ndoa itakuwa tamu zaidi ila siyo hawa wanaume wa kiafrika kila kitu utasikia "mimi ndo mwanaume humu ndani na mimi ndo niliyekuoa" ishiii kwahiyo?
Siyo kila kitu ni usawa vitu vingine ni kanuni za ndoa ndo zinataka viwe hivyoBibiee unapenda usawa eeh?
Africa mambo ya liberalism bado sana...
embu tuonane tu kwakwel maana hizi tabia zetu zinafanana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],me usiku huu nimetoka kupatanishwa na baby kwaajili ya ishu kama hiiHahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahahahahahahahahhaahhaha hebu nijitahidi niwe kama hivi uwenda nikadumu kwenye mahusisno lol...
Nilivyo na gubu hivyo simu ipigwe ukaongee chumbani asalaleeeeeeeeee vita ya hapo si ya mchezo
Asante Sana Dada yangu Kipenzi kuwakumbushaMmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaaSubiri tuzeeke tutakuelewa.
huu ushauri mimi haunifai kabisaHichi kipaji me sina na nikifikia huku moyo utakua barufu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]embu punguza mdomo basi kidogo wewe mwanaumeMchambuzi huyuhuyu alieshikwa ugoni hivi majuzi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwasasa tutawafuata hadi chooni hadi kieleweke, bado tuna nguvu za kudeal na stress.
Kuna watu wana wivu sana tena wivu wa kijingaKuna mmoja alisikia nimepigiwa simu. Na aliyenipigia alikuwa ni binti mmoja mfanyakazi mwenzangu. Basi bwana kusikia yale mazungumzo mwenzangu akasusa kula kutwa zima.
Hivi wanaume mbona kila kitu mnasema tunajilinganisha na nyie? Kwahiyo mnataka wake zenu wasifanye makosa ila nyie mfanye makosa si ndiyo? Naona ndo kujitofautisha mnakotaka hukoYaani wewe kila kitu Ni kulinganisha na wanaume.
Nahisi hata hedhi huwa unajiuliza Kama na wanaume wanapata.
Play your part na mwanaume atafanya yake.
Hata nikikuchunga namna gani utatiwa tu.!!
Mwanaume nianza kukagua simu ya mke wangu nina shida gani wakati Nina wanawake wengi!?
[emoji115] [emoji115] Huyo ndo mwanamke aliyepikika akaiva[emoji122] [emoji122]Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Siku hiyo akakataa kunipa tunda muda wa kulala. Kesho yake baada ya kusuluhisha nilifidia ugwadu wote.Kuna watu wana wivu sana tena wivu wa kijinga
[emoji16][emoji16]kwa upendo kabsaSiku hiyo akakataa kunipa tunda muda wa kulala. Kesho yake baada ya kusuluhisha nilifidia ugwadu wote.