Recent content by The lost son

  1. The lost son

    House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Mkuu, na weza kupata chumba na sebule maeneo ya nera au uhuru, rufiji and around
  2. The lost son

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Dah! Kweli Dunia inazunguka mimi nilizani Mtama, mahindi singida zaidi ya manyara? anyways ni fursa nzuri. singida to manyara ni Km ngapi? diference ya bei ni kubwa...
  3. The lost son

    The death of Cde Robert Mugabe

    It's with great sadness to learn the death of a true son of Africa. He did a lot in his country Zimbabwe and Africa in general never less he proved to be human by blood and fresh as he was neither a programmed robot nor an Angel. R.I.P a Zimbabwe’s founding father and former President, Cde...
  4. The lost son

    Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

    Shida ni katiba ya Young Africans, TFF walikaa na wadau (Team), wana katiba za vilabu? kwani bila vilabu hakuna TFF unless waanzishe timu zao other wise wangewaita Young Africans waitishe Mkutano mkuu kubadilishe kitu hicho full stop. Kwenda kinyume na katiba ni kuvunja katiba bila kujali...
  5. The lost son

    IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

    I am richer than my neighbor although we both live in slums
  6. The lost son

    Motherboard ya HP ProBook 440 g2

    Kichwa cha habari hapo juu cha husika. naomba yeyote mwenye hufahamu wa sehemu ninapoweza kupata au mwenye motherboard tajwa hapo juu, tafadhari naomba msaada wako.
  7. The lost son

    Kanye West under fire after saying slavery was a choice

    It has never been a choice and it will never be. People fought but only Gods knows they could not win because technology know-how the Africans/blacks had in those days, they were no ways out to resist otherwise you tell me they sent themselves to Europe and America and asked for that. The same...
  8. The lost son

    20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake!

    There's someone for everyone And Tommy's love was Becky In her arms he didn't have to prove he was in 20% nakumbuka nyimbo za wahenga
  9. The lost son

    Naibu Waziri: Si kweli kuwa marehemu Francis Kanyasu ndiye aliyebuni nembo ya Taifa

    TFF nimewasamehe kutokujua record kuwa mchezaji Mohamedi Fakhi alikuwa na kadi za njano tatu au la! Kumbe wamejifunzia huku.
  10. The lost son

    Point 3 za Simba hatimaye FIFA wamekata mzizi wa fitna

    Hvi hakuna njia nyingine kuzipata hzo point 3? lakini i do hope zawadi zetu za mshindi wa pili bado zipo tukizihitaji!
  11. The lost son

    Kenyan English version

    Huwa napenda sana English ya Kenya na nilikuwa nafahamu kila mtu Kenya anaweza kuongea fluently compared na huku kwetu bongo lakini all is good napenda sana wanavoongea especially their pronunciations.
  12. The lost son

    Marekani Watengeneza Risasi Yenye Uwezo wa Kukata Kona na Kumfuata Mpigwaji!

    Risasi ambazo zitaweza kufuta mtu aliyerengwa ata kama atakuwa kwenye mwendo kasi au kukimbia upande mwingine, yani hata kama kuna watu wengine on the way inawakwepa moving to a targeted person. Hiyo risasi inakuwa na jina lake? unaiyambia mfate kaka jambazi wengine your safe? itakuwa nzuri...
  13. The lost son

    PICHA ZINATISHA: Uzembe wa 'Traffic' wasababisha mauti kwa mwendesha bodaboda

    Mita 100? jaribu kuangalia reference yako Mkuu
  14. The lost son

    Kama walimfukuza Zitto kwa kwenda mahakamani huko kisutu wanafanya nini?

    Hivi thread nyingine zina husisha akili kweli? Katiba ya Chadema na Makonda wapi na wapi... Makonda akionyesha kadi ya Chadema ina relate vipi na kesi iliyopo mahakamani? Labda ungeanza kuelezea kesi iliyopo mahakamani inahusu nini Mkuu, labda mimi ndiyo mgumu kuelewa...
  15. The lost son

    Ajali ya basi la Taqwa yaua watu wawili Mbeya

    Hiyo route imekaa aje? Nairobi - Congo DRC alafu nilinapita Mbeya.... Ndefu kweli kweli....
Back
Top Bottom