Ajali ya basi la Taqwa yaua watu wawili Mbeya

Hamza Mohamed

Member
Jan 3, 2013
17
9
Hivi punde watu wawili wamepoteza maisha mkoani Mbeya katika ajali ya basi la Taqwa lililokuwa likitokea Nairobi nchini Kenya kueleke DR Congo.

Majeruhi wote wamekimbizwa katika hospitali ya rufaa.

Chanzo: ITV
 
Poleni wafiwa,hilo bus la kongo likifika Tunduma utolewa siti nyingi na kubaki chache tuu linapakiwa mzigo hadi ndani linaanzia Dar mpaka Kongo tuu...
 
Waliofariki ni watembea kwa miguu kugongwa na bus au bus limepinduka na kuua wawili?..poleni wafiwa.
 
mbeya ,wanyakyusa jamani tupeni hizo tunguri zenu acheni kunywa damu za watu hamchoki? au hadi muwe wekundu?
 
Hivi punde watu wawili wamepoteza maisha mkoani Mbeya katika ajali ya basi la Taqwa lililokuwa likitokea Nairobi nchini Kenya kueleke DR Congo.

Majeruhi wote wamekimbizwa katika hospitali ya rufaa.

Chanzo: ITV
R.I.P. kwa wahanga, na pole majeruhi. Ila habari haijakamilika inabidi kusema basi limetoka Nairobi, Kenya kwenda Lubumbashi, D.R. Congo. At least Fb page yao inasema wanafanya hiyo route.
 
Back
Top Bottom