20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake!

20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake!

Siyo hivyo nafikiri labda haujailewa hiyo Kanuni, ni kwamba wewe kama Mwanaume na hauko kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka, hauwezi kupata Mwanamke wa kuoa, kwa maana Mwanamke hawezi kukukubali!

Hakuna hiyo wanawake hawa wana njaa ya kuolewa balaa wanataka kusitiriwa hawa hali
Ni mbayaa
 
Hakuna hiyo wanawake hawa wana njaa ya kuolewa balaa wanataka kusitiriwa hawa hali
Ni mbayaa

Ni kweli wana njaa ya kuolewa lkn na siyo kila Mwanaume, ndo maana Wanaume wale wale wanatembea na Wanawake wote, angalia mfano Diamond anekula karibia kila Mwanamke na wote wanajijua sasa jaribu wewe kuwabadilisha Wema, sijui Jokate n.k. hlf uone utafika mbali kiasi gani!
 
Fanya uchunguzi mdogo sana utagundua hilo, kwa mfano angalia tu hata wakati labda unakuwa haukumbuki kwamba kuna baadhi Wanaume ambao walikuwa wanapata mademu wote yaani wanawabadilisha Mademu wanavyotaka halafu kuna wengine hawapati mademu hata wafanyaje? Haukumbuki hilo? Unafikiri ni kwa nini? Ni kwa nini Wanawake wanatembea na Wanaume wale wale?

Hata Shuleni kuna washikaji waliokuwa wanawabadilisha mademu kama nguo na mademu wanajua wkt kuna washikaji wengine miaka 4 inaisha hawajawahi kupata demu shuleni, na siyo kwamba hawajaribu kutokea mademu, sasa kwa nini?

Yaani wale Wanaume ambao tunawaita vipanga ndiyo wanaowabadilisha Wanawake wote na Wanawake wanalijua hilo lkn bado wanawakubalia? Ni kwa nini?
mm ninao 21..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nimelewa vizuri mada, hiyo 80% kwa 20% haimaanishi kwamba watu wanakosa kabisa wa kuoa au kuolewa, lakini, yule unayempata siyo uliyekuwa unapenda kuoa au kuolewa naye. Matokeo yake ndo utasikia anamsaliti, mume amechepuka, amezaa nje ya ndoa nk. Mimi naona utafiti huu ni sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There's someone for everyone
And Tommy's love was Becky
In her arms he didn't have to prove he was in 20%
nakumbuka nyimbo za wahenga
 
Kitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata.

Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
Nice big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya uchunguzi mdogo sana utagundua hilo, kwa mfano angalia tu hata wakati labda unakuwa haukumbuki kwamba kuna baadhi Wanaume ambao walikuwa wanapata mademu wote yaani wanawabadilisha Mademu wanavyotaka halafu kuna wengine hawapati mademu hata wafanyaje? Haukumbuki hilo? Unafikiri ni kwa nini? Ni kwa nini Wanawake wanatembea na Wanaume wale wale?

Hata Shuleni kuna washikaji waliokuwa wanawabadilisha mademu kama nguo na mademu wanajua wkt kuna washikaji wengine miaka 4 inaisha hawajawahi kupata demu shuleni, na siyo kwamba hawajaribu kutokea mademu, sasa kwa nini?

Yaani wale Wanaume ambao tunawaita vipanga ndiyo wanaowabadilisha Wanawake wote na Wanawake wanalijua hilo lkn bado wanawakubalia? Ni kwa nini?
Weak point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli wana njaa ya kuolewa lkn na siyo kila Mwanaume, ndo maana Wanaume wale wale wanatembea na Wanawake wote, angalia mfano Diamond anekula karibia kila Mwanamke na wote wanajijua sasa jaribu wewe kuwabadilisha Wema, sijui Jokate n.k. hlf uone utafika mbali kiasi gani!
Weak point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii rule nilijua iko kwenye biashara tu kumbe hata kwenye mahusiano. Aisee!
 
Siyo hivyo nafikiri labda haujailewa hiyo Kanuni, ni kwamba wewe kama Mwanaume na hauko kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka, hauwezi kupata Mwanamke wa kuoa, kwa maana Mwanamke hawezi kukukubali!
Inamaana hiyo 20% haibadiliki? Kwamba hao wanaume walio nje ya 20% huwa wapo static to their conditions?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazee haya mambo huwa sijui mnayashuhudia wapi.

Hivi ni kweli mtaani tunapoishi kati ya wanaume 100 basi 80 hawapati wanawake wa kuoa wanazunguka makanisani kusali na wanaishi kubaka?

Hapana.
Inabidi mtu awe na research ya kufuatilia watu kwa karibu sana ili kutuhakikishia hizi figures, kitu ambacho si rahisi kwa sababu haya ni mambo ya faragha sana.

Vinginevyo hizi ni hadithi za kutunga ambazo zinajipa sura ya uhalisia kwa kunukuu takwimu zilizonyofolewa hewani.

Sent from my Kimulimuli
 
aisee hapa ndipo wanawake wanapojikanyaga unapoangalia mwanaume hana vigezo unavyotaka bila kujua unatakiwa kushirikiana naye kufikia vile vigezo tumia nguvu zako pia we mwanamke kumbadilisha mwanaume

Ukikaa kusubiri kilicho tauari tu mj! sijui mwisho wake

nivyema kama ana mitazamo mizuri kwenye mambo yake madogomadogo hayo hayo pambana nae kuyakuza yawe makubwa

Hakika utampa motisha mchumba ulie nae aone nipo na mtu makini ila lengo lako umeliweka kichwani kua angalao mweza wangu awe hivi ukisubiri unataka wa asilimia kadhaa nakuishia kumlalamikia tuu nakumuuliza maswali yako vip umefkia wap bado mtaji haujaongezeka tu bado hujafungua genge lingine apo unamtia mashaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi mtu awe na research ya kufuatilia watu kwa karibu sana ili kutuhakikishia hizi figures, kitu ambacho si rahisi kwa sababu haya ni mambo ya faragha sana.

Vinginevyo hizi ni hadithi za kutunga ambazo zinajipa sura ya uhalisia kwa kunukuu takwimu zilizonyofolewa hewani.

Sent from my Kimulimuli
Naona kaamua kutumumunyisha matango tu....
 
Naona kaamua kutumumunyisha matango tu....
Hawa ndio wale wanasoma vitabu vya "Self Help" vya Wamarekani,halafu wanataka ku "copy paste" watuletee hapa ambapo kuna watu wana maisha tofauti sana.
 
Back
Top Bottom