The lost son
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 103
- 74
Huwa napenda sana English ya Kenya na nilikuwa nafahamu kila mtu Kenya anaweza kuongea fluently compared na huku kwetu bongo lakini all is good napenda sana wanavoongea especially their pronunciations.