Recent content by The GreatMwai

  1. T

    Suala la Kikwete Kutukanwa Kila Mahali Linahitaji kuthibitishwa- Mh. Simbachawene

    Nampongeza kwa uvumilivu wake, maana hali ingekuwa tete katika nchi hii. Kukosoa kunakubalika lakini lugha inayoashiria kumvunjia mtu heshima yake yake kwa kwa kweli haifai.
  2. T

    Mbunge akerwa Zanzibar kufananishwa na wilaya

    Mhh hivi kweli? mbona tumeshambuliwa na magaidi katika ubalozi wa Marekani na watanzania wengi walikufa wakati tupo kwenye muungano.
  3. T

    Ya Jairo: Mnashindwa kuelewa nini?

    Nimekuelewa mkuu. Ila hoja yangu ni kwamba kwa jinsi ninavyoelewa utaratibu wa Serikali ni kwa kila Wizara kutumia Bajeti iliyopitishwa na Bunge katika kutekeleza wajibu wake. Na kwamba kumuomba subordinate ni lugha ya heshima lakini kiukweli kabisa Serikalini maana yake ni agizo. Ikitokea...
  4. T

    Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely

    Ndugu yangu umeongea jambo zuri sana, ila tu pengine ungekumbuka kwamba ameandika jinsi ilivyo ngumu kumbadilisha fisadi kuwa mtu mwema, mlevi kuwa mtakatifu na mvuta sigara kutovuta sigara ndivyo ilivyo ngumu kumbadilisha yeye na Nape kukubali kubadilika kwa kuwatumikia wananchi kwa kuwa ndiyo...
  5. T

    Single mpya ya CHADEMA hii hapa

    Kaazi kweli kweli.
  6. T

    JK is the best president

    He hii kali sasa, hivi ni kweli waliopita hawakufanya kitu? Jamani mwogopeni MUNGU. Itoshe tu kwamba kuna juhudi zinaendelea chini yake. Unataka kusema mabwawa ya kuzalisha umeme ya Mtera, Kidatu, Kihansi n.k yamejengwa na kuendelezwa kipindi cha Kikwete! Njia zote kuu za kusafirisha umeme...
  7. T

    Tiba ya Babu Loliondo: Wanasiasa tuliingizwa mkenge

    Mbona hata yeye anasema tuombe kupitia Bikira Maria anaponyesha lakini watu bado wanaugua na wanakufa na yenyewe ni illusion.
  8. T

    Taarifa ya Lissu kwa vyombo vya habari kuhusu Spika wa Bunge

    Kuwa na kesi mahakamani hakumaanishi mtu huyo haruhusiwi kushiriki maendeleo ya taifa kama mtu huru. Sheria ya Tanzania inatambua haki hiyo na ndiyo maana mtuhumiwa yeyote anahesabiwa hana kosa mpaka mahakama itakapotoa uamuzi kama ana kosa. Kuhusu spika wetu, ni dada yetu na wengine mama yetu...
  9. T

    Nape: Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani inadhihirisha uongo wa CHADEMA

    Mheshimiwa Nape, Kwanza katika bajeti ya Serikali 'yako' na JK naomba ufafanue kinagaubaga ahadi zifuatazo kama zote zimeingizwa kwa mwaka huu wa fedha kabla hujaongelea wanachokisema wapinzani, Ahadi za JK 1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega...
  10. T

    CHADEMA wamlipua Kikwete Bungeni

    Unashangaa nini hapa ndugu Mtanzania mwenzangu, hivi kweli kwa uelewa wako Rais azindue mpango kukiwa na timu yake ya wataalamu waliobobea halafu mpango huo ndiyo utolewe maoni? Nilifikiri kiustaarabu ni kwanza ujadiliwe, uboreshwe na hatimaye mkuu wa nchi asaini ili kuanzisha rasmi kutumika...
  11. T

    Wahenga waliliona hili la Kikwete na viongozi wa dini

    Swala siyo kukemea maovu, hoja ni uliye na mamlaka na wewe kupiga kelele kama vile umesahau kwamba ukiwa makini wewe katika kuwajibika kwa mujibu wa sheria unaweza kuleta mabadiliko makubwa kuliko hawa wasio na jeshi, wasioweza kuunda chombo chochote kutekeleza wanachokitaka. Na kuhusu viongozi...
  12. T

    Kikwete na mbinu ya kutumia mashehe na media

    Mh!!! Kwani wewe umeshaanza kuuza madawa ya kulevya?
  13. T

    Jumuiya ya Kikristo yamtaka Kikwete ataje viongozi wa dini wanaojihusisha na madawa ya kulevya

    Sioni cha ajabu kwa yeye kusema hayo kama angekuwa mtu wa kawaida kama sie wengine, lakini kiongozi mkubwa wa nchi mwenye vyomho vyote nayeye kuongea kwa kulalamika inasikitisha. Lakini wewe, kwani kwa kuwa Osama alikuwa Shehe na alifanya aliyoyafanya basi mashehe ni wahalifu? Unapo jaribu...
  14. T

    Wabunge wetu na mabinti wa vyuo!

    Lakini hawa si tunawachukulia kwamba ni watu wazima kwa kuwa kwa mfumo wa elimu ya Tanzania watakuwa wameshafikisha miaka 18 na zaidi hivyo wanaweza kujiamulia mambo yao wenyewe? Mi nafikili itakuwa siyo kiherehere chao bali ni utashi. Mwenye masikio na asikie yale yasemwayo na wajoli wa BWANA.
Back
Top Bottom