rifwima
JF-Expert Member
- Apr 21, 2010
- 507
- 212
That means, kama aliyakuta hayo matatizo so na yeye hayaache bila kudeal nayo? Tupe data, aliyakuata kwa kiwango gani? mahitaji yalikua kiasi gani (rate of population increases reflected in the demand of socio-economic infrustructures)Kama umekula gamaba na kunywa damu ya magamba utaendelea hivyohivyo. JMK is the worst president that this country ever had. QUOTE=FaizaFoxy;2146221]Matatizo ya umeme na maji JMK kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni JMK ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.[/QUOTE]