Recent content by The greater man

  1. T

    JamiiForums Tanzania Israel yakubali kusitisha mapigano na Iran

    Iran wamedevelop saan anaweza akapiga against usa na washirika wake wote wa kimangharibi na akawasumbua
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimelipakata Lishangazi kwenye Mwendokasi, yaani mpaka aibu naona mimi

    Mtandao wa jamii forum umekuwa kama tiktok
  3. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa niliyoyaona Mwanza leo, ni sahihi sana CCM kuchanganyikiwa. Nimeelewa kwa namna gani inawauma

    Mm sisujudii chama nakubali kiongozi na sera zake
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore akikutana na Putin na akikutana na waafrika wenzie

    Hoja yako nini
  5. T

    JamiiForums Tanzania Biashara yenye wateja wa uhakika

    Biashara gani
  6. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa SADC wasalimu amri wa Kagame! Wakubali kuondoa vikosi vyao CONGO DRC. Huu ni ushindi kwa Kagame na hatari kwa mataifa yanayomzunguka

    Traore alimwambia rais wakongo kuwa naomb nilipe mm nikuuzie siraha nzito tuone kama hao m23 watabaki au lete askari wako niwape mafunzo akakataa kitendo cha kumpa dhamana mmarekani ndicho kimetengenezwa anaigia mkataba na wewe anapotumia siraa zake atachukua rasilimali za madini kiasi gani...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inapanga kununua umeme kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini

    Umeme uliopo katika gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa kusini mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa umeme.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mkataba na Shetani ni kitu kipo?

    Wewe mwenye maarifa umegundua nini au serikali inakufahamu kwa lipi
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ubora wa mbao za Mtiki

    Vipi kuhusu mtibwa mringaringa unaujua nao ni mzuri unakaribia mninga na mkongo
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aviator hack trick

    Texts whatssap 0718551927
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aviator hack trick

    📚📖𝐏𝐈𝐍𝐊 𝐓𝐇𝐄𝐎𝐑𝐈𝐄𝐒 Hız ndo formula zote za Aviator a azotumia Full formula -30000 Pink na purple tu-10000 OGOPA MATAPERI. 1. 𝐑10 2. 𝐑9 3. 𝐊𝐂𝐑 4. 𝐏𝐈𝐍𝐆-𝐏𝐎𝐍𝐆 𝐓𝐇𝐄𝐎𝐑𝐘 5. 𝐋𝐀𝐒𝐓 𝐌𝐈𝐍𝐔𝐓𝐄 𝐑𝐔𝐋𝐄/𝐌𝐈𝐃 𝐌𝐈𝐍𝐔𝐓𝐄 𝐑𝐔𝐋𝐄 6. 𝐁𝐋𝐔𝐄𝐒 𝐓𝐑𝐀𝐈𝐍 𝐓𝐇𝐄𝐎𝐑𝐘 7. 𝐏𝐔𝐑𝐏𝐋𝐄 𝐓𝐑𝐀𝐈𝐍 𝐓𝐇𝐄𝐎𝐑𝐘 8. 𝐃𝐎𝐔𝐁𝐋𝐄 𝐃𝐈𝐆𝐈𝐓𝐒 𝐑𝐎𝐋𝐄 9. 𝐀𝐑𝐓𝐇𝐌𝐄𝐓𝐈𝐂 𝐏𝐑𝐎𝐆𝐑𝐄𝐒𝐒𝐈𝐕𝐄...
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aviator hack trick

    Wangapi mpo teyar kujifunza mimi nani trick zote za kutafuta pink 🩷 high purple 🟣 nina formula zaid ya 50
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    Asante kwa elimu mm nmefanyiwa hyo huduma na teyar simu yangu inasoma lain mbili niliweka e sim kwa tigo tu lkn ile fomu nliyopewa nimesahau je kuna madhara yoyote yanaweza tokea
  14. T

    JamiiForums Tanzania Binadamu tunaishi ili iweje? Au tupo duniani kufanya nini? Why Do We Live?

    Someni dini ili mjifunze kwa mitume ambayo imetumwa kwa lengo la kutuelimisha sisi
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwani umeitwa huku au shobo
Back
Top Bottom