Israel yakubali kusitisha mapigano na Iran

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
837
Serikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano.

Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano."

Serikali ya Israel inasema ilikubali pendekezo la kusitisha mapigano baada ya "kufikia malengo" ya mashambulizi yake dhidi ya Iran.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Israel imeondoa "Iran kama tishio mara mbili" kuanzia silaha za nyuklia hadi makombora ya balestiki.

Pia inasema Israel "imesababisha uharibifu mkubwa kwa uongozi wa kijeshi, na kuharibu maeneo kadhaa lengwa ya serikali ya Iran".

Taarifa hiyo inaendelea kusema kwamba majeshi ya Israel, katika siku ya mwisho, "yamefikia malengo ya serikali katika kitovu cha Iran, na kuwaondoa mamia ya wanajeshi wa Basij" – ambao mara nyingi hutumika na serikali ya Iran kukandamiza waandamanaji - na "kumuua mwanasayansi mwingine mkuu wa nyuklia".

"Israel inamshukuru Rais Trump na Marekani kwa kumuunga mkono katika ulinzi na ushiriki wao katika kuondoa tishio la nyuklia la Iran," taarifa hiyo inaongeza.
 
😂😂 Israel wamepagawa na kipigo maana walidhani Iran anatania kumbe mwenzao amemaanisha.

Hotuba ya leo ya Ayatollah Ali Khamenei inaonesha umoja na mshikamano thabiti kwa wananchi wa Iran kumpinga Mzayuni.

Walidhani wangewashawishi wananchi wa Iran kuandamana na kumpinga kiongozi wao mkuu kumbe imekuwa tofauti.
 
Iran ina jeshi kubwa na lenye weledi mkubwa.

Israel na Marekani wamekutana na kisiki cha mpingo hawaamini.

Israel hawezi kupigana na Iran ndani ya mwezi tu pale Israel patageuka kuwa magofu na hilo analijua vizuri.

Kama wiki tu nchi imekuwa magofu matupu vipi kuhusu mwezi?
 
KOBAZI KESHAMALIZWA PROGRAMS ZOTE HATARISHI
Makamanda hatarishi wote chali,vinu vya nyuklia vyote chali
Afu wahuni baada y kumaliza mission yao wanakuleta mezani na hana nguvu ya kupinga😁😁😁
 
Hata kama unampenda zayuni ila sio namna hii... na je vp wamefanikiwa kuuondoa utawala wa babu madevu.. na zile ngano za Israel ukipiga bomu linadunda nafikiri tumeona.. na mwisho kabisa mungu wa Israel anaetajwa na waisrael wa kazimzumbwi tumemuona baada ya kuingilia vita baada ya kuona kiumbe wake anadundwa...
 
Shida Iran hana backup ya uhakika pange chimbaka Israel
 
Serikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano.

Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano."

Serikali ya Israel inasema ilikubali pendekezo la kusitisha mapigano baada ya "kufikia malengo" ya mashambulizi yake dhidi ya Iran.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Israel imeondoa "Iran kama tishio mara mbili" kuanzia silaha za nyuklia hadi makombora ya balestiki.

Pia inasema Israel "imesababisha uharibifu mkubwa kwa uongozi wa kijeshi, na kuharibu maeneo kadhaa lengwa ya serikali ya Iran".

Taarifa hiyo inaendelea kusema kwamba majeshi ya Israel, katika siku ya mwisho, "yamefikia malengo ya serikali katika kitovu cha Iran, na kuwaondoa mamia ya wanajeshi wa Basij" – ambao mara nyingi hutumika na serikali ya Iran kukandamiza waandamanaji - na "kumuua mwanasayansi mwingine mkuu wa nyuklia".

"Israel inamshukuru Rais Trump na Marekani kwa kumuunga mkono katika ulinzi na ushiriki wao katika kuondoa tishio la nyuklia la Iran," taarifa hiyo inaongeza.
Imekubali au kulazimika baada ya kuishiwa pummz? Bye bye niitenyau
 
Wameufyata baada ya Kremli kusema wataisaidia Iran
 
Nyie mnaoita wenzenu KOBAZI hii ni mara yangapi nawaonya...
Sasa nasema sitosema tena takua namtafuta mmoja mmoja aiseee

Tafuta jina lingine hili KOBAZi limepigwa marufuku humu
 
😂😂 Israel wamepagawa na kipigo maana walidhani Iran anatania kumbe mwenzao amemaanisha.

Hotuba ya leo ya Ayatollah Ali Khamenei inaonesha umoja na mshikamano thabiti kwa wananchi wa Iran kumpinga Mzayuni.

Walidhani wangewashawishi wananchi wa Iran kuandamana na kumpinga kiongozi wao mkuu kumbe imekuwa tofauti.
Wayahudi bwana, vita hii imewatia kiwewe na aibu kubwa, hawakutegemea kama Wairan sio lelemama, we fikiria wamefikia mpaka hatua ya kupiga kombora kwenye mlango wa gereza wakiamini wafungwa wakitoka humo na kutoroka basi wataanzisha colour revolution kama ya Ukraine na kuipinduwa Serikali ya Iran - walikuwa wanaota tu Regime change wakasahau kwamba Wairan wana mshikamano si rahisi kuwarubuni, Serikali za magharibi zilisha mtayarisha mtoto wa Marehemu Shah Pahlavi eti aje kuiongoza Iran!! Trump na Natenyahu wakasahau kwamba Wairan si mbumbumbu kiasi hicho.
 
Iran ina jeshi kubwa na lenye weledi mkubwa.

Israel na Marekani wamekutana na kisiki cha mpingo hawaamini.

Israel hawezi kupigana na Iran ndani ya mwezi tu pale Israel patageuka kuwa magofu na hilo analijua vizuri.

Kama wiki tu nchi imekuwa magofu matupu vipi kuhusu mwezi?
Hahahahaha umenikosha hadi kwenye sakafu ya moyo wangu nilitamani waendelee kupasuana walau miezi 6 tuone Israeli ingekuwaje
 
Iran wamedevelop saan anaweza akapiga against usa na washirika wake wote wa kimangharibi na akawasumbua
Nakumbuka jinsi ya improvised road side bombs za Wairan zilivyo waua wanajeshi wengi wa Kimerikani huko Iraq!! Iran si mchezo.
 
Bila Marekani Israel sio lolote sio chochote. Natenyahu ametii agizo la Bwana Mkubwa Trump bila shuruti

"ISRAEL. DO NOT DROP THOSE BOMBS. IF YOU DO IT IS A MAJOR VIOLATION. BRING YOUR PILOTS HOME, NOW!” President Trump
 
Back
Top Bottom