Biashara yenye wateja wa uhakika

Biashara yenye wateja wa uhakika

Kwasasa nina oda za kuuza korosho nyeupe, wateja ni wa uhakika.
Usalama wa pesa zako ni kuwa wewe ndo utahusika kwanzia kununua hadi kuuza ila tutakuwa pamoja kwenye kila hatua.

Faida kwangu nitapata gawio la asilimia hamsini ya faida itayokuwa imepatikana baada ya kutoa matumizi yote, pia nitakuwa nimewatunza wateja wangu. Nawe utapata faida ya asilimia hamsini pia utakuwa umepata connection ya wateja na pia utakuwa umepata ujuzi wa biashara. Korosho bei nayochukulia ni elfu 16 kwa kilo oda niliyonayo ni 1.3 tons. Tunaweza anza na kilo 100 tu kwa safari ya kwanza.

Bidhaa ninazouza ni nyingi sio mazao tu.
Nitafute mwamba
 
Faida: utapata kipato kama faida, utaweza kujifunza biashara kwa vitendo, utapata connection na wateja wa nje ya nchi, ni biashara yenye risk ndogo kulingana na mtindo ninao ufanya (yaani tunachukua mzigo baada ya kupata oda), pia ni cash sales no credit sale.
Je una mpango wa biashara ulio wazi na wenye kueleweka, kamba waweza share nasi hapa jukwaani?

Je una uzoefu (na uaminifu) kwa muda gani katika hii biashara unayozungumzia?

Je tayari umetengeneza makubaliano ya kisheria?
 
Yaani hapo ni mwenye mtaji ndiyo mwenye kazi,yaani mtu ana mtaji wake kwanini asianzishe biashara yake mwenyewe? Hawo wateja unaodai wako tu wanakusubiri wewe upate mtaji ili waje wanunue kwako?
 
Mkuu biashara ni zaidi ya mtaji wa pesa, pesa ingekuwa kila kitu basi wafanyabiashara wote tungekuwa matajiri sana. Pesa pekee haitoshi kufanikisha biashara, hujui ni gharama gani nimetumia hadi kuwapata hao wateja, hujui ni kwa namna gani nimeweza kuaminika na hao wateja. Hujui ni kwa namna gani nimetafuta information kuhusiana na upatikanaji wa bidhaa. Hujui ni kiasi gani nimewekeza elimu kuhusu biashara husika.
Unekuwa unaaminika na wateja wangekulipa in advance ila kwa sababau hawakuamini ndio maana umekos mtajo.
 
Wakuu amani na iwe nanyi. Nahitaji mtu wa kushirikiana naye katika biashara. Awe na mtaji wa fedha kwa ajili ya kununulia bidhaa mimi ninao wateja na connection ya kuupata mzigo. Mahali pa kuupata mzigo ni popote pale ndani ya Tanzania.

Kwanini natafuta partner? Sababu ni kuwa nimeyumba mtaji sina kwa sasa ila nina oda za wateja na wanahitaji mzigo.

Tutazunguka na wewe mwenye pesa ndio utanunua mzigo mwenyewe na tutakutana na mnunuzi na wewe ndo utapokea pesa yako, utahusika na pesa zako mwenyewe na tutaandikishana kisheria.

Faida: utapata kipato kama faida, utaweza kujifunza biashara kwa vitendo, utapata connection na wateja wa nje ya nchi, ni biashara yenye risk ndogo kulingana na mtindo ninao ufanya (yaani tunachukua mzigo baada ya kupata oda), pia ni cash sales no credit sale.
Kweli nyie wapigaji hamkosi mbinu za kuliza watu. Juzi mlitupiga na LBL,. Leo unataka utupige na wateja feki wako.
 
Wakuu kwema, kwa kiasi fulani nilifanikiwa. Na nitaleta mrejesho kwa siku za mbeleni, lengo ni kumtia moyo kila mpambanaji anayepitia magumu, ajiamini na aamini uwezo alio nao ni mkubwa kuliko matokeo yanayoonekana na watu. Ukiwa na focus, determination na discipline lazima utafanikiwa tu lakini cha msingi hakikisha uwe na haki.
 
Fanya uchawa tu ndio biashara yenye uhakika kwa sasa Tanzania
 
Kweli nyie wapigaji hamkosi mbinu za kuliza watu. Juzi mlitupiga na LBL,. Leo unataka utupige na wateja feki wako.
Mkuu amini kila unachokipanda utakivuna tu, nikushauri usipende kuhukumu bila kuwa na uhakika maana kwa kipimo hicho hicho nawe utavuna. Kinachonitofautisha mimi na wewe ni uwezo wa mind kuchanganua mambo mimi niliona mlango ila wewe umeona ukuta, uko sawa.

Thread iko wazi, weka ushahidi hapa kila mtu aone, au yeyote anaweza kufanya hivyo pia.
 
Kwasasa nina oda za kuuza korosho nyeupe, wateja ni wa uhakika.
Usalama wa pesa zako ni kuwa wewe ndo utahusika kwanzia kununua hadi kuuza ila tutakuwa pamoja kwenye kila hatua.

Faida kwangu nitapata gawio la asilimia hamsini ya faida itayokuwa imepatikana baada ya kutoa matumizi yote, pia nitakuwa nimewatunza wateja wangu. Nawe utapata faida ya asilimia hamsini pia utakuwa umepata connection ya wateja na pia utakuwa umepata ujuzi wa biashara. Korosho bei nayochukulia ni elfu 16 kwa kilo oda niliyonayo ni 1.3 tons. Tunaweza anza na kilo 100 tu kwa safari ya kwanza.

Bidhaa ninazouza ni nyingi sio mazao tu.
Bei ya kuuza?
 
Wakuu amani na iwe nanyi. Nahitaji mtu wa kushirikiana naye katika biashara. Awe na mtaji wa fedha kwa ajili ya kununulia bidhaa mimi ninao wateja na connection ya kuupata mzigo. Mahali pa kuupata mzigo ni popote pale ndani ya Tanzania.

Kwanini natafuta partner? Sababu ni kuwa nimeyumba mtaji sina kwa sasa ila nina oda za wateja na wanahitaji mzigo.

Tutazunguka na wewe mwenye pesa ndio utanunua mzigo mwenyewe na tutakutana na mnunuzi na wewe ndo utapokea pesa yako, utahusika na pesa zako mwenyewe na tutaandikishana kisheria.

Faida: utapata kipato kama faida, utaweza kujifunza biashara kwa vitendo, utapata connection na wateja wa nje ya nchi, ni biashara yenye risk ndogo kulingana na mtindo ninao ufanya (yaani tunachukua mzigo baada ya kupata oda), pia ni cash sales no credit sale.
Kwenye high risk ndo kwenye high gain,
Ngoja risk taker waje!!
 
Yaani hapo ni mwenye mtaji ndiyo mwenye kazi,yaani mtu ana mtaji wake kwanini asianzishe biashara yake mwenyewe? Hawo wateja unaodai wako tu wanakusubiri wewe upate mtaji ili waje wanunue kwako?
Itoshe kusema hujawahi kufanya biashara na hujui unachokisema, hiyo attitude ya kiburi uliyonayo si sahihi kama kweli umedhamiria kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio. Ukiwa na mtazamo huo utamdharau hata mteja wako.

Kwenye biashara kuna kupanda na kushuka, haijalishi unaijua biashara kiasi gani.
Mtaji ni pesa, mahusiano na watu, uwezo wako (your subjective & objective mind). Kuwa na pesa sio shida, shida ni kuifanya hiyo pesa ikuzalishie na ikutumikie na sio uitumikie.
Acha kiburi.
 
Back
Top Bottom