Recent content by The Eric

  1. The Eric

    JamiiForums Tanzania Kwenu Madalali wa magari kuna mdogo wangu ana 15m cash hapa anataka gari yake ya kwanza ili apate siti kwenye meza ya wakubwa zake akina sie

    Milioni 15 anapata premio used kwa mtu, premio sio mkokoteni....
  2. The Eric

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa Mafunzo ya Udereva, Dar es Salaam

    Asante sana nitawatafuta
  3. The Eric

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa Mafunzo ya Udereva, Dar es Salaam

    Gharama ya ada yenu kulipa kidogo kwa awamu kidogo inaruhusiwa, cheti mnatoa.
  4. The Eric

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata (CCM) ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mkewe

    Mtaa ndìo unaitwa CCM
  5. The Eric

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Isamilo na Libanika, alfajiri ya leo

    😅😅😅 unajua ukishakuwa dereva unajua hali ilivo, mimi ni dereva kuna namna nakuelewa, road life sio easy.
  6. The Eric

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Isamilo na Libanika, alfajiri ya leo

    Wewe ndyo ungetakiaa uwe bungeni, hawa matabulasa sjui wanafanya nini huko
  7. The Eric

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Isamilo na Libanika, alfajiri ya leo

    Shubamiit tatizo la pili ni baadhi ya abiria 70% wanapenda speed kwenye safari...nyie abiria pia ni tatizo.
  8. The Eric

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi la Isamilo na Libanika, alfajiri ya leo

    Kweli hususani usiku huwa yanatembea kweli kweli yaani....
  9. The Eric

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 niliyonayo sitaki usumbufu.

    Kwani kuna ulazima wa wewe kutufokea hapa, ni maamuzi yako na haki yako ya msingi kuamua kuoa au kuolewa kutokana na new edition of human rights
  10. The Eric

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    😅😅😅 we mchagga wa wapi...
  11. The Eric

    JamiiForums Tanzania Msanii Sean Combs aka Pdidy huenda akaachiwa huru

    Chanzo huna then you bring nonesense...
Back
Top Bottom