Illusion
Member
- Jul 10, 2022
- 24
- 291
Hapana mwanamke hapo hawapokei kabisa.Mwanamke naweza kupokelewa,na hitaji kazi pia?.
Hapana mwanamke hapo hawapokei kabisa.Mwanamke naweza kupokelewa,na hitaji kazi pia?.
Platinum Credit Limited ni kampuni inayotoa mikopo kwa Watumishi wa Umma, wafanyabiashara na wafanyakazi kampuni binafsi.Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale
NITAFUTE KWA 0658547794Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale
Sales upande upiKama upo serious na sales kampuni yetu nltunahitaji agents kazi si ya kikesha juani ni wewe tu na juhusi zako inshort kama uwinga 0768842034