Recent content by The EMP Bomb

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

    Mie nakumbuka ile filimbi ya mabio ya asubuhi, alafu utasikia "we lala tu si umekuja kulala hapaa!!" , Hapo unatukana kimoyomoyo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

    Hapo unakula makofi ya kutosha kwanini haufoleni
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping ataka dini ya Kiislamu ikubaliane na mfumo wa China

    Movie gan hii??
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Saa ngapi Gemu?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

    We mjamaa nimeunga doti nimekujua. Hawa weusiiii au weupeee? (Weupeee)
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

    P the MC Kuna interview alisema, Kuna msanii maarufu tu, anajimwambafai kanunua kiwanja, wakati Nash mc ana nyumba yake Kali tu. Hao wasanii wanaopiga picha na magari mziki hauwalipi, kasikilize interview ya yule jamaa wa makomando (muki) kwenye sns
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli: Boarding ya wasichana, Maisha ya O-level

    Mwenyewe Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ibrahimu na mwanae Isaka yalikuaje baada ya lile jaribio la kumchinja kuahirishwa?

    Ukiachana na maswali ya mtoa mada, mie najiuliza, Mungu alipata nini au alijisikiaje baada ya kondoo kuchinjwa (kutolewa sadaka) kwaajili yake Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

    Mbeya baridi ikichanganya inacheza kwenye nyuzi 7 au 8 Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
  10. T

    JamiiForums Tanzania Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

    Hii bado haijachanganya
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Ushatucheat mkuu, ulisema unakitaka cheo Cha immortal
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kama ibilisi alishindikana huko mbinguni ndo akatupwa huku Duniani basi binadamu tumeonewa maana hatumuwezi

    Malaika jibril, SI ndo Gabriel aliyeenda kumpasha habari Maria kwamba atamzaa Yesu au?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kama ibilisi alishindikana huko mbinguni ndo akatupwa huku Duniani basi binadamu tumeonewa maana hatumuwezi

    Kwahiyo Yesu amekuja kutuonyesha njia ya kumshinda shetani, ila sio sahihi kusema Yesu alimshinda Shetani
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kama ibilisi alishindikana huko mbinguni ndo akatupwa huku Duniani basi binadamu tumeonewa maana hatumuwezi

    Kwahiyo wale walemavu, Mungu anamuumba ikifika labda step ya kuumba mguu anaupindisha makusudi, au akifika step ya macho hamuwekei?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kama ibilisi alishindikana huko mbinguni ndo akatupwa huku Duniani basi binadamu tumeonewa maana hatumuwezi

    Na hao mnaodai Wana mapepo? Yanatokea wapi wakati yameshindwa vibaya na Yesu, na tukipima activities za duniani ambazo ni za kimungu na zinazodaiwa za kishetani, unadhani zipi zitakuwa nyingi?
Back
Top Bottom