Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

Moja kwa moja kwenye mada...kila nikikumbuka baadhi ya kauli zilizokuwa zikitumika najikuta nafurahia pekeengu ....je wewe mdau uliewahi kupitia haya mafunzo ya jkt..unakumbuka msemo upi?

Binafsi nakumbuka ule msemo .,wakti ulishaharibu kazi sasa unaambia na kamanda ufoleni mistari mitatu wakti huo ni wewe mmoja ...sasa utajigawa vipi ili ufoleni mistari mitatu na mtu we ni mmja.

Kwa wadau nadhani wanaelewa hizi vitu
Hapo unakula makofi ya kutosha kwanini haufoleni
 
Mujibu wametuvuna 821 kj op miaka 50 jkt E coy
Ona hiri; rinaniona mi ni Shakira......... Yaani naamrisha halafu linacheka [hapo umeonekana kajino tu😕]

Sifa wepesi, wiki ya ngapi hii? - hii inatoka kwa kuruti wenzako baada ya wewe kujila kwa ujinga wako
 
Hahah "kuruta ukidoji andaa nguvu"

Mwezi uliopita nilikuwa kwenye graduation ya askari wapya walioapa kule RTS Kihangaiko, wakati wako na ndugu zao kuna muda filimbi ikapigwa wakaitwa na wakubwa, sasa wengine walikuwa mbali nje ya geti hawakusikia ikabidi waanze kufuatwa mmoja mmoja

Koplo mmoja akapiga "baba yako mengi hayaishiii" hahah namna alivyosema watu wote waliokuwa karibu walicheka
Nyiee hia kauli alikuwa anaipenda afande MATALYA mgambo KJ aiseee.. yani akisema ngurutu leo mmeharibu kazi muandae nguvu siku hiyo kombania inachafukaaa sio kwa lile dosoo.. Kuna siku tulitoka kupiga kwata mazoezi ya pass out sasa ilikuwa mida ya kula kuna platoon hawakurudisha silaha hamala wakaenda kuzikusanya chini ya mti wakila ndo warudishe ila wakaacha watu walinde Yesu wanguu sitaisahau ile siku nyie tulichakaaa unajua kuchakaaa kwanza tulitudi kombania mwendo wa bata waliitana maafande nyie tulipigwaa mpaka kuna captain flani akaingilia kati sitasahau ni siku niliyopanga kesho yake nitorokee.
 
Ngurutu leo jicho nga'ing'ai mpaka kunakucha najua hamuani...
ngurutu mnamwaga teee 😀 😀 😀
ngurutu wa Mungu watu wakuyee...watu wanyeeee😀😀😀
Chapa vumbi mna mapuuza sanaa...
Kwa kuwa mmeharibu kazi tunabadilisha mwendo ngurutu...
ngurutu ni mdudu..

anyway jeshi lilinifundisha mambo mengi ila kubwa hasa ni Uvumilivu hasa wakati wa shuruba maana hakuna kinachodumu kesho itafika maisha yatasonga.. NALIPENDA JESHI ila UHURU naupenda zaidi.


Kwani hukonako ulikuwa unakula kimasihara
 
Baba umeliona hili linapanga kutorokaaa...
Mzalendo au kurutu anaenosha uoga anaambiwa utakufa wewe lazima ufee..
Jioni ya leo atakufa mse*ge atakufa shoga kurutii..
Azwea nyingi jeshini...
Wanawambia madem wewe kichei chei usiniangalie ivo nna mke mzuri kulko wewe..
Kama babako anakupenda asingekuleta jeshinj
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom