Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

Screenshot_20220603-110502_Chrome.jpg

Hali ndio kama mnavyoona.
 
Huku Tukuyu Mbeya watu tunatembea barabarani tukiwa tumebeba majiko ya mkaa yenye moto mkali lakini wapi.... mpaka maji ya kuchambia chooni tumeweka ya moto ila ndani ya dakika moja tu utafikiri yametoka kwenye freezer lakini ndiyo nyumbani sasa hivyo hatuhami tunakomaa nayo kwahiyo watu wa dar vumilieni tu huo upepo ila msiuite eti ni baridi... huku ndiyo kuna baridi..
Mkuu kumbe unatokea tukuty mwakarelii
 
Kuanzia leo hadi Agosti 22 mwaka huu kutakuwa na baridi zaidi kuliko miaka ya nyuma. Wanaiita Aphelion phenomenon. Kuanzia kesho saa 05.27 tutapata uzoefu wa APHELION PHENOMENON , ambapo Dunia itakuwa mbali sana na Jua. Hatuwezi kuona jambo hilo, lakini tunaweza kuhisi athari zake. Hii itaendelea hadi Agosti 2022. Tutapata hali ya hewa ya baridi zaidi kuliko hali ya hewa ya baridi iliyotangulia, ambayo itaathiri mafua, kikohozi, upungufu wa pumzi, nk. Kwa hiyo, hebu sote tuongeze kinga kwa kunywa vitamini au virutubisho vingi ili kinga yetu iwe imara. Umbali kutoka kwa Dunia hadi Jua ni dakika 5 za mwanga au kilomita 90,000,000. Hali ya aphelion hadi kilomita 152,000,000. 66% zaidi.
 
Hivi hii kauli ya kusema "huko mikoani" mnaitoa wapi?
Wanaita mikoani wakati hapo Dar wakijikusanya watoto wa miaka 14 ishirini wameshika panga mtaa mzima mpaka wenye bunduki wanajifungia ndani.
 
Kuanzia leo hadi Agosti 22 mwaka huu kutakuwa na baridi zaidi kuliko miaka ya nyuma. Wanaiita Aphelion phenomenon. Kuanzia kesho saa 05.27 tutapata uzoefu wa APHELION PHENOMENON , ambapo Dunia itakuwa mbali sana na Jua. Hatuwezi kuona jambo hilo, lakini tunaweza kuhisi athari zake. Hii itaendelea hadi Agosti 2022. Tutapata hali ya hewa ya baridi zaidi kuliko hali ya hewa ya baridi iliyotangulia, ambayo itaathiri mafua, kikohozi, upungufu wa pumzi, nk. Kwa hiyo, hebu sote tuongeze kinga kwa kunywa vitamini au virutubisho vingi ili kinga yetu iwe imara. Umbali kutoka kwa Dunia hadi Jua ni dakika 5 za mwanga au kilomita 90,000,000. Hali ya aphelion hadi kilomita 152,000,000. 66% zaidi.
20220603_180334.jpg
 
Back
Top Bottom