Maisha ya Ibrahimu na mwanae Isaka yalikuaje baada ya lile jaribio la kumchinja kuahirishwa?

Zamani ilikuwa ni kawaida kuwatoa watoto dhabihu kwa Mungu eti kwamba sadaka ya kuteketezwa ile unayoipenda zaidi ndio nzuri zaidi. Mnajua Jephta alimtoa mwanaye wa kike na nani sijui aliwajengea wanae katika kuta za hekalu/ukuta sijui.

Muendelezo wake ndo kama sasa hivi mtu akikushawishi kumtolea Mungu mali kubwa 'itakayokuuma' eti ndio utakuwa umeonesha kumpenda zaidi.

Ifahamike wazi Mungu hajawahi kuhitaji sadaka all along, na hata kama ukikaza shingo kwamba ni lazima kumtolea toaga tu kwa mapenzi yako sio eti kama ni kitu anakihitaaaaaaaaaaji.

Kwa mtazamo mama yake, na mwanae hawangemchukulia baba yao kama katili binafsi, no hard feelings. Wangeshukuru tu kwa pamoja na waliendelea kupendana zaidi. Maana mtoaji na mtolewaji wote walikuwa na hisia kwamba hilo ni jambo zuri sana. Mtoto labda hata aliona kapendelewa, kapendwa zaidi, kutolewa ikawa ni ishara ya upendo zaidi kuliko ukatili.

Mnakumbuka yule binti wa jephta/sijui joshua pia. Hata yeye atakuwa aliona yeye kutolewa ni jambo sahihi kabisa. Msiwaone wa ajabu, au msione kifo ni kitu kibaaaaaaya. Kufa kwa ajili ya kusudi/worthy goal huendelea kuchukuliwa kitu cha heshima. Wanaokufa RUSSIA NA UKRAINE ni uthibitisho tosha. Kilichobadilika ni goals tunazozichukulia ni worthy kulingana na utamaduni wa wakati husika
Sasa hii inatofauti gani na kafara za wachawi
 
Salaam wakuu...

Kisa Cha Ibrahimu na Isaka kimeelezwa vizuri katika vitabu vitakatifu vya dini.

Katika biblia,kitabu Cha mwanzo 22 mstari wa1-14 kinaeleza tukio la Mungu kumjaribu Ibrahimu amtoe mwanae wa pekee Isaka kuwa sadaka. Ikumbukwe sadaka ilikua nikumchinja Isaka na kuuchoma mwili wake kwa Moto.

Wakiwa njiani kuelekea sehemu ya kutolea sadaka, Isaka akamuulza babake kuwa kondoo mwenyew Yuko wapi maana kisu, kuni na Moto tunavyo.

Ibrahimu alijibu kiutu uzima kuwa twende tu mwanangu, kuhusu kondoo Mungu atatupatia huko huko.

Walipofika sehemu husika, ghalfa Isaka akashangaa anakamatwa na babake nakisha kufungwa tayari kwa kuchinjwa.

Wakati kisu kinakaribia kufika shingoni, Mungu akaingilia Kati kwa kumuonyesha Ibrahimu kondoo halisi aliyekua pembeni kwenye kichaka.

Swali langu; Baada ya Ile Hali kutokea, Isaka alimchukuliaje baba yake?

Pili, Ibrahimu alimtonya mkewe kuhusu agizo la kumtoa Isaka kuwa sadaka?

Tatu, Kama Ibrahimu hakumtonya mkewe, nifundisho gani tunalipata kwa wanandoa kushirikishana Mambo makubwa na nyeti?

Mwisho; Kama Mke wa Ibrahimu hakuambiwa kuhusu tukio lile, Kuna uwezekano alikufa bila kujua kuwa mwanae alitaka kuchinjwa na babaake au labda Isaka alimhadithia mamaake avyonusurika huko porini?
Hili swali mpelekee Padre Titus Amigu wa SAUT Mwanza, hapa sidhani kama watakujibu vilivyo
 
Sasa hii inatofauti gani na kafara za wachawi
Haikuwa na tofauti kinamna inavyofanyika, ila tofauti kubwa ni lengo/kusudi. Kinachotolewa kwa Mungu ni kwa kusudi jema la kiroho.

Na hata sasa usipoelewa kuwa kujitoa kwa Mungu kwako hakupaswi kuwaathiri waja wake [hata kama ni wanao, au watumwa wako] wengine unaweza kufanya kosa lilelile. Mungu hahitaji sadaka za namna hiyo wala hajawahi kuhitaji. Kinachotakiwa ni kujitoa wewe binafsi kuishi [katika kila unachokifanya] kwa mapenzi yake, na hilo linamaanisha kutokuwa mbinafsi na ikiwezekana kuwapenda wenzako woote kama yeye anavyowapenda.

Walishindwa kutafsiri vizuri kwamba zawadi anayoitaka Mungu ni zawadi ya uhai. Sio kwa kuutoa/kufa bali ni kwa kuishi kwa ajili yake na wenzako. Usiwaze lakini baadae walielewa na ikawa kumtolea mtoto wako kwa Mungu ilimaanisha kumtoa akatumike hekaluni maisha yake yote kwa Mungu. A good cause.
 
Salaam wakuu...

Kisa Cha Ibrahimu na Isaka kimeelezwa vizuri katika vitabu vitakatifu vya dini.

Katika biblia,kitabu Cha mwanzo 22 mstari wa1-14 kinaeleza tukio la Mungu kumjaribu Ibrahimu amtoe mwanae wa pekee Isaka kuwa sadaka. Ikumbukwe sadaka ilikua nikumchinja Isaka na kuuchoma mwili wake kwa Moto.

Wakiwa njiani kuelekea sehemu ya kutolea sadaka, Isaka akamuulza babake kuwa kondoo mwenyew Yuko wapi maana kisu, kuni na Moto tunavyo.

Ibrahimu alijibu kiutu uzima kuwa twende tu mwanangu, kuhusu kondoo Mungu atatupatia huko huko.

Walipofika sehemu husika, ghalfa Isaka akashangaa anakamatwa na babake nakisha kufungwa tayari kwa kuchinjwa.

Wakati kisu kinakaribia kufika shingoni, Mungu akaingilia Kati kwa kumuonyesha Ibrahimu kondoo halisi aliyekua pembeni kwenye kichaka.

Swali langu; Baada ya Ile Hali kutokea, Isaka alimchukuliaje baba yake?

Pili, Ibrahimu alimtonya mkewe kuhusu agizo la kumtoa Isaka kuwa sadaka?

Tatu, Kama Ibrahimu hakumtonya mkewe, nifundisho gani tunalipata kwa wanandoa kushirikishana Mambo makubwa na nyeti?

Mwisho; Kama Mke wa Ibrahimu hakuambiwa kuhusu tukio lile, Kuna uwezekano alikufa bila kujua kuwa mwanae alitaka kuchinjwa na babaake au labda Isaka alimhadithia mamaake avyonusurika huko porini?
zitto junior kile kitabu cha henoko kimeelezea hili tukio ?
 
Isaka alijua kuwa baba yake alijaribiwa. Nae aka'appreciate Imani ya baba yake.

Isaka hakumwambia mama yake. Mambo ya wanaume ni ya wanaume. Huo ndo uanaume. Siku hizi wanaume wamekuwa masnitch kama wanawake.
Mambo ya kumpa mwanaume maagizo mbele ya mkewe Mungu aliachana nayo toka kwa Adamu. Baada ya hapo kila mtu akawa anapewa maagizo na maagano kimpango wake. Mungu alikuwa anakupa maagizo wewe kama wewe,. Sasa kama na wewe utamshirikisha mkeo utajua wewe.
 
Salaam wakuu...

Kisa Cha Ibrahimu na Isaka kimeelezwa vizuri katika vitabu vitakatifu vya dini.

Katika biblia,kitabu Cha mwanzo 22 mstari wa1-14 kinaeleza tukio la Mungu kumjaribu Ibrahimu amtoe mwanae wa pekee Isaka kuwa sadaka. Ikumbukwe sadaka ilikua nikumchinja Isaka na kuuchoma mwili wake kwa Moto.

Wakiwa njiani kuelekea sehemu ya kutolea sadaka, Isaka akamuulza babake kuwa kondoo mwenyew Yuko wapi maana kisu, kuni na Moto tunavyo.

Ibrahimu alijibu kiutu uzima kuwa twende tu mwanangu, kuhusu kondoo Mungu atatupatia huko huko.

Walipofika sehemu husika, ghalfa Isaka akashangaa anakamatwa na babake nakisha kufungwa tayari kwa kuchinjwa.

Wakati kisu kinakaribia kufika shingoni, Mungu akaingilia Kati kwa kumuonyesha Ibrahimu kondoo halisi aliyekua pembeni kwenye kichaka.

Swali langu; Baada ya Ile Hali kutokea, Isaka alimchukuliaje baba yake?

Pili, Ibrahimu alimtonya mkewe kuhusu agizo la kumtoa Isaka kuwa sadaka?

Tatu, Kama Ibrahimu hakumtonya mkewe, nifundisho gani tunalipata kwa wanandoa kushirikishana Mambo makubwa na nyeti?

Mwisho; Kama Mke wa Ibrahimu hakuambiwa kuhusu tukio lile, Kuna uwezekano alikufa bila kujua kuwa mwanae alitaka kuchinjwa na babaake au labda Isaka alimhadithia mamaake avyonusurika huko porini?
huenda Isaka hakuwahi kujua tukio hilo (Alifumbwa),inawezekana sura na umbo na sauti vilikuwa vya isaka ila roho ya malaika wa Mungu katika kumjaribu Ibrahimu. Isaka inawezekana alikuwa kwenye usingizi mzito na ndoto.
 
Mungu Hachunguziki.
Nyie ndo mnasababisha tuone vitabu vitakatifu vinamapungufu.

Kama unaamini biblia imekamilika,
Majibu ya swali la mleta mada yangekua precise and clear ndani ya Bible.

Na sio kuleta blah blah za Mungu hachunguziki
 
Back
Top Bottom