Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ARSENAL YAFANYA SIRI KUHUSU JINA LA WINGA INAYEMUWINDA

Fabrizio Romano huwa anafanya mijadala Youtuble na Que Golazo hasa kila jumatano, , Fabrizio ameongelea swala la Martinez, anasema leo amerudi Ajax kwa ajiri ya preseason ,na ameomba Kuondoka akacheze EPL, anatakiwa achague kati ya Arsenal na Man u, ila Man u wanafaida Sababu ya ETH alikuwepo hapo Ajax, Lakin Arsenal pia Wana nafasi Sababu Ya project yao.

Amesema Kuna dalili za Winga anayelengwa na Arsenal, lakini anataka kuifatilia hiyo habari.
Mwisho aliipongeza Arsenal kwa kufanya kimya

Huyu Ni mbadala ya Raphinha, tutamjua siku za karibuni.

Wengi wanahisi labda Asensio, au Mousa Diaby,.

Ila tusubiri Tuone, Maana hata Fabrizio hajapata jina ila anasema Kuna dalili Arsenal wanasaka Winga.

Mwisho @FabrizioRomano he Said:

"I'm sure Edu is working on something." 😉
 
Attachments

  • IMG_20220706_182949.jpg
    IMG_20220706_182949.jpg
    61 KB · Views: 18

Huyu lisandro Martinez ni ndugu na lautaro Martinez mkuu?
 
Hee kumbe shabiki wa Chelsea, so kwa hiyo nyie Lautaro hamumtaki?

Sterling mchezaji gani? katika chance kumi anapata moja, msajili halafu muone mtavyo kaanga chips mixer misonyo na matusi na mimi nawaombea mumsajili Sterling kama ninavyo waombea Manyumbu wabaki na Captain wetu Maguire.

Mimi co lichelisii mkuu wala liasenalii wala limaniyuu
 
Mikel Arteta (kikosi) “Sitaki kundi lolote la Brazil na sitaki kundi la Ureno. Jambo muhimu kwangu ni kwamba waungane na kikosi kizima. Nataka timu ambayo imeunganishwa kikamilifu ili waweze kujenga uhusiano imara na wa kuaminiana kati ya kila mmoja wao.”
 
Attachments

  • FB_IMG_1657204908070.jpg
    FB_IMG_1657204908070.jpg
    60.6 KB · Views: 13
🗣 Edu: "Kila mtu anayejua soka vizuri, anajua sifa za Gabriel Jesus."
 
Attachments

  • FB_IMG_1656958285813.jpg
    FB_IMG_1656958285813.jpg
    25.6 KB · Views: 15
Nicolas Pepe, Bernd Leno, Hector Bellerin, Lucas Torreira, Pablo Mari, Ainsley Maitland-Niles and Reiss Nelson are all available for sale this summer
 
Attachments

  • IMG_20220707_181300.jpg
    IMG_20220707_181300.jpg
    351.9 KB · Views: 17
.@JacobsBen:

“[Lisandro] Martinez was very sold on talking to Arteta. From what I understand, Arteta is taking a much more active direct role in this transfer window than in previous ones - he’s calling up players, he’s pitching the club directly, he’s co-selling with Edu.” #afc

.@JacobsBen: “Certainly with Gabriel Jesus, it was Arteta that was one of the big clinching aspects of that. Obviously, he knows Jesus from his time at Manchester City, but it was still the fact he was able to sell Arsenal, not just himself as a manager.” [@TFTerrace] #a
 
Attachments

  • IMG_20220707_181810.jpg
    IMG_20220707_181810.jpg
    141.1 KB · Views: 15
Mimi ni baserona mkuu,
Haya muongezeeni na huyo atawasaidia anaweza kucheza mpaka namba 10.

Na uzuri kila klabu ina acc social networks unaweza ukaenda ukatoa mtizamo wako kuhusu Lautaro kwenye sehemu ya comment au angalia hata vipindi vya Barcelona TV ,kuna muda namba ya Xavi inapita kwa chini, ichukue umtumie ujumbe mfupi kuhusiana na Lautaro na si kutupigia kelele humu kwenye thread yetu.
 
Aliyekataliwa ni Chelsea ,Ndiye aliyopeleka pesa kwa Leeds ,Raphina akagoma

Kama Arsenal amekataliwa tuambie aliyefika dau kwa Leeds Ni Nan Kama sio Chelsea , na inakuwaje wiki ya pili hii hamjamalizana na mchezaji? Jibu Ni simple TU MCHEZAJI HAITAKI CHELSEA

Na sio Raphina TU most of players wameigomea Chelsea

Jules Kounde, Lewandowisk, Kolibaly , n.k

Hata De ligt iwapo Baryen watafika Bei anawapiga chini Chelsea

Mbona ipo waz inajulikana Chelsea Ni klabu bado ndogo tu , Kama uefa hata Forrest anayo ,hata astonvilla ila Ni vilabu vidogo tu
Leeds ameikubalia Chelsea ila Raphina ndo amekataa, nyie arsenyeto mmekataliwa na Leeds na Raphina.
 
Haya muongezeeni na huyo atawasaidia anaweza kucheza mpaka namba 10.

Na uzuri kila klabu ina acc social networks unaweza ukaenda ukatoa mtizamo wako kuhusu Lautaro kwenye sehemu ya comment au angalia hata vipindi vya Barcelona TV ,kuna muda namba ya Xavi inapita kwa chini, ichukue umtumie ujumbe mfupi kuhusiana na Lautaro na si kutupigia kelele humu kwenye thread yetu.

Nimekurewa sheikh
 
Back
Top Bottom