dr samg
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 292
- 163
Mimi nimeishi huko na juzi nilikuwa huko, unajua kisa cha gereza la Kawetere kuhamishiwa Mbalizi?
Huu mji unaitwa mokhotlong, huko lesotho joto lao linacheza kati ya 16 mchana na 0 au chini kidogo ya hapo usiku 👇
It snow in Mokhotlong, haya huko mbeya iwe kati ya joto 4 na 0 isi snow? Mbeya siku joto likifika nyuzi joto 7 basi jua migomba itakuwa imeungua na vifo tutaviona!