Recent content by The dream

  1. The dream

    JamiiForums Tanzania Mbatia anawazaje kuiuza NCCR Mageuzi?

    Mpinzani wa kweli ni Mbowe tu Thamani ya manunuzi yake ni zaidi ya trilioni 35 Nani atafika bei? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. The dream

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

    CHADEMA KWANZA mengine baadae. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. The dream

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    admiration… . 15 mnts to go Sent using Jamii Forums mobile app
  4. The dream

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    We still have Rodrigo & Vinicius in stock Sent using Jamii Forums mobile app
  5. The dream

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Link mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. The dream

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Bwana mdogo Rodyrigo yupo wapi? Hii ni mechi ya 3 leo simuoni uwanjani,bench wala kwenye listi ya majeruhi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. The dream

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya shilingi yamwagwa kujenga barabara Kigoma

    Upo sahihi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. The dream

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Sauti Sol-Suzana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. The dream

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

    Nilikua nina mpenzi ambae tulipendana sana Nilimpenda Alinipenda Ilitokea ikafika siku ya kuzaliwa kwake (birth Day) na kutokana na kua nilitingwa na shughuli nyingi za kikazi nilisahau kumuwish (tulikua tunaishi mikoa tofauti) lakini niliwasiliana nae kwa maongezi ya kawaida tu… Ilipofika...
  10. The dream

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

    Kumekucha uwanja wa Taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. The dream

    JamiiForums Tanzania Maisha ndani ya Marekani ni sawa na gereza?

    Punguza kusikia mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. The dream

    JamiiForums Tanzania Cold War Espionage: Makomando wa KGB walimhoji na kumfanyia recruitment Senator John MacCain alipochukuliwa mateka (Missed In Action) vita ya Vietnam

    Mambo yangekua rahisi kama unavyodhani US isingekua super power na wala Putin asingelia lia na katiba aendelee kubaki madarakani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. The dream

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Huu mtaa upo kkoo? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. The dream

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mpe jibu kwanza mkuu kisha utauliza swali Sent using Jamii Forums mobile app
  15. The dream

    JamiiForums Tanzania Makabati ya vioo (alminiums)

    Inasikitisha sana Haya maisha tuyaone hivi hivi tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom