Simply Zizou hana mbinu mpya, daily tunapga masquare pass yasiyo na madhara kwa opponents tukifka kwnye final 3rd tupga mikross isiyonafaida na hili ni tatzo tangu season ianze hadi sasa, mbaya zaid team nying za la liga wameshaligundua hil ndo mana hata ushind wetu mara nying unakua wa mbinde
hebu iangie liver the way wanavyocheza so amazing, wana wachezaji average sn tu bt ni kloop ndo ameifanya kua vile madrid kocha hatuna hilo liko wazi, achana na mafanikio ya uefa back to back, ule ni upepo tu ambao zizou amepita nao
kuna game niliichek ya copa de ley madrid v zaragoza tulishinda 4-0, tushinda kwa quality lakin si tactically, zaragora the were the best tactcally....madrid tatizo ni kocha
地那天刚才妇产科☆