bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,339
- 23,381
Huyu jamaa anaelekea kupoteaWe still have Rodrigo & Vinicius in stock
View attachment 1367148View attachment 1367149View attachment 1367150
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia usije kuharisha bure iyo halaaaKesho tumpige pep. Akitufunga atatamba sana. Hala madrid
Ukifungwa tubet utanipa namba za uyo dem wako poa?Sijui leo tutashinda kubabake!!!!
Tukishinda demu wangu lazima nimpelekee moto mpaka alfajiri muda wa kukimbilia mwendokasi pale Kimara mwisho.
Leo mnapigwa za kutosha tu
wewe mbona haujakaa kimya?Uzuri mashabiki wa RM hua hatuna lugha chafu ndio maana raia wamekukalia kimya ... mda utaongea
Sent using Jamii Forums mobile app

Game tuna shinda hii mwambie mapema ajiandae
Sijui leo tutashinda kubabake!!!!
Tukishinda demu wangu lazima nimpelekee moto mpaka alfajiri muda wa kukimbilia mwendokasi pale Kimara mwisho.