Kwa taarifa tu Wakenya wengi wamekuwa attention sana na diss ya Rosa Ree kuliko hata Watz,tatizo mlijiaminisha Khali ni untouchable sasa amepigwa na mama!then she came with your style to knock him down na taulo ameshatupa kwa ring!Na huyo ndo baba yenyu!😂😂😂.Rosa amexpand territory yake I mean...
I think she did a research before coming to him but it's all good this is hip hop we missed in the industry! Check out the video also is lit 🔥🔥🔥 though we respect Papa Jones ila tumeamua kuzika huku huku Bongo 😂😂😂 I'm joking.
https://youtu.be/ATupjjLGeeU?si=hwRtjLKuybdW4sYa
Halafu mwambieni Khaligraph,yule bwana Omollo asirudie tena kutest mitambo dada tu kamtia K.O,yuko analialia tu Instagram huko hajui afanye nini😂
https://youtu.be/OVROAgR0v5c?si=__a497PDvD63rDiK
Mama Omollo_ Rosa Ree.
Achana nae Ndinda, atakuchosha tu, parking lot za TB3 zote ziko na segments, I mean ziko dedicated! Kwa mfano hiyo picha ya kwanza ni long-term parking ina discount ya kutosha tu kwa very affordable price, parking zetu zote ni kubwa sana hatukutaka kbs kurudia makosa ya TB2 ukija ni zero hustle...
Wakati mwingine kutofanya ukarabati mkubwa in long run inakugharimu zaidi,Kiwanja kimechoka acha kifanyiwe ukarabati mkubwa haya mambo ya ziba hapa ziba pale yafike mwisho tufanye once and for a while kuanzia kwenye kuexpand kwa maana number of seats na kumodernize facilities zote if...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.