Sijaelewa, mtoto wa kaka ya shangazi yako, shangazi ni ndugu yake baba, sasa kama ni mtoto wa kaka ya shangazi maama yake ni mtoto wa baba mdogo ama mkubwa wako, huyo ni ndugu yako mkuu.
Huyo sio binamu, huyo ni ndugu yako kabisa.
Binamu ni mtoto wa shangazi ama mtoto wa mjomba, yaani mtoto wa...