fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,730
- 7,426
ka,a ja,bo dogo kama hili huwezi kuamua mwenyewe maisha yako yako hatariniHabari wana jamiiForums...
Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga.
Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..
Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?
Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaani mke wa mjomba