yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 901
- 1,568
Kuraaaaaaa ila me.naona usimle tu.mmmh nishike la nan sasa nimle au niache

Habari wana jamiiForums...
Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga.
Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..
Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?
Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaani mke wa mjomba
Acha uchafu wa kifisi kama yale mafisi Amani bila haki.Habari wana jamiiForums...
Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga.
Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..
Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?
Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaani mke wa mjomba
Jichanganye tu kakaAfu K za mabinamu huwaga tamu vibaya mno, Ukianza tu hutoboi! Utamramba mpaka aolewe
Sijaelewa, mtoto wa kaka ya shangazi yako, shangazi ni ndugu yake baba, sasa kama ni mtoto wa kaka ya shangazi maama yake ni mtoto wa baba mdogo ama mkubwa wako, huyo ni ndugu yako mkuu.Habari wana jamiiForums...
Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga.
Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..
Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?
Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaani mke wa mjomba
Acha uoga dogo,PIGAASANTENI KWA USHAURI WENU KWA KWELI NILITAKA KUFANYA KOSA KUBWA AISEE SIJUI NI NIN KILINIJIA TU
@mtotowamjombaHabari wana jamiiForums...
Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga.
Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..
Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?
Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaani mke wa mjomba
wa kagera
kaka yake na mama( mjomba) ameoa mke, mke wake namuita shangazi.. sasa uyo shangaz ana kaka yake pia ,, uyo kaka yake shangaz ndio anamtoto wa kike ndie namuitaga binamu.. sio ndugu zetu wa damu wameolewa kwenye ukoo wetu tuSijaelewa, mtoto wa kaka ya shangazi yako, shangazi ni ndugu yake baba, sasa kama ni mtoto wa kaka ya shangazi maama yake ni mtoto wa baba mdogo ama mkubwa wako, huyo ni ndugu yako mkuu.
Huyo sio binamu, huyo ni ndugu yako kabisa.
Binamu ni mtoto wa shangazi ama mtoto wa mjomba, yaani mtoto wa ndugu wa kike wa baba yako ama ndugu wa kiume wa mama yako. Ila akiwa ni mtoto wa ndugu wa kike wa mama yako ama ndugu wa kiume wa baba yako hao ni ndugu wa karibu sana huwezi kuwala.
Hua tunakula mtoto wa mjomba kwa sababu mjomba sio ndugu yako wa damu, ni ndugu wa mama yako. Wakati mwingine hata mtoto unaweza kukuta hajazaliw ana mjomba, mjomba mapachikiwa tu mimba analea. Pia tunakula mtoto wa shangazi kwa sababu shangazi ameolewa ukoo mwingine ambao sio mdugu zako, hamna uhusiano wa damu na kule alipoolewa shangazi, wale watoto sio ndugu yako kabisa unaweza kuwala bila shida.
Ila mtoto wa baba yako mdogo ama mkubwa hao ni ndugu wa damu kabisa. Mtoto wa mama mdogo huyo ingawa ni sawa na mtoto wa shangazi ila tunakua ma heshima kwa mama, kumla mtoto wa ndugu yake wa kike sio vizuri.