Recent content by Tetra

  1. Tetra

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

    Kwani ya Papii Kocha na Nguza Vicky yaliishia wapi?.... Vanity of Vanities
  2. Tetra

    JamiiForums Tanzania Kabla sijafa nitatembelea maeneo haya

    Ikawe unavyotaka
  3. Tetra

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie jinsi ya kupata mtaji, nimekwama sana

    Kufadhiliwa mradi unaoendelea ni rahisi kuliko kufadhiliwa mradi hewa. Anza na padogo umiliki pakubwa...
  4. Tetra

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi achukua fomu ya kuomba kuwania ubunge Kigamboni

    Mpira haulipi? Au kuna jambo amelikimbia? Maana kule kila taarifa za kihasibu wanapata hasara
  5. Tetra

    JamiiForums Tanzania CHATO: Mwanafunzi kufanya mitihani 9 kwa siku moja. Je, Shule ya sekondari Mujumuzi- ina mamlaka?

    Wanajamii, hii imekaaje? Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa kazini baada ya walimu hao kupinga utaratibu wa shule hiyo kuwafanyisha mitihani 9 kwa siku moja...
  6. Tetra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hivi ni kweli huyu mwanamke ananipenda?

    Kutoaminiana... Nusu ni kinga nusu ni kifo
  7. Tetra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani hebu nisaidieni huyu baba anataka kugombea ubunge

    Da Sophy movie, part 3 =
  8. Tetra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananipenda jumla sijui kwanini

    :: Hii bahati sijui itanifikia lini, ya kupendwa jumla jumla sio rejareja! =
  9. Tetra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio maamuzi niliyo fikia, Nishauri

    :: Wazo zuri, kuna jamaa yangu ana Scania sasa hivi, ameiandika 'asante salome' Ni baada ya salome kumkataa kisa hakuwa hata na baiskeli. Ni just external forces zinazotusukuma. =
  10. Tetra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dereva Trekta Kanipora mpenzi

    :: Pole, they say 'You can't possess what really is not yours' =
  11. Tetra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi fungukeni: Ulijisikiaje ulipopata mtoto wako wa kwanza?

    :: Raha sana kuitwa Baba, kilichonifurahisha zaidi ni mwanangu kufanana na mimi Blue G =
  12. Tetra

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili, tangu niijue JF, I miss mai friends

    :: Pamoja sana =
  13. Tetra

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili, tangu niijue JF, I miss mai friends

    :: Ni wengi saaana mkuu, akina Lisa Munkari Zion Daughter Prisoner4664 Maundumula The Boss Mentor Heaven on Earth Blue G ni wengiii =
Back
Top Bottom