Dereva Trekta Kanipora mpenzi

Dereva Trekta Kanipora mpenzi

Pigana Chief
wewe Uwe Unamnunulia Mabetri Kwa Ajili Ya Hyo Redio
Hapa Lazima Akuheshim
Ahsante Jigo
 
Usikubali na wewe nunua trekta.
Halafu uje nikupe sabufa kabisa la kumringishia na hiko kiredio kaseti chake.
 
Huyu kama siyo mtunzi wa vitabu vya hadithi basi atakua anafanya zoezi la kutunga vitabu vya hadithi.
 
Aisee umenikumbusha mbali kweli.... enzi hizo
 
Mkuu,gari ni gari tu haijalishi muundo.Jitahidi ununue hata tairi moja unakuwa unakata nalo mitaa ukijidai unaenda kuziba pancha.Utamnasa mrembo tu,lol!
 
Nielekeze Ulipo Nikuanzime Hili Gar Langu Japo Hku Mjini Sio New Model....
 
Nimecheka sana mkuu, naamini ndani ya moyo wako hutaki kusikia wageni kwani wanakuharibia mipango yako.. tehe tehe, cha msingi na wewe nunua walau walk man inayotumia CD umpiku dereva trekta na radio cassette yake hiyo itatafuna mikanda siku si nyingi. Ila all in all you made my day Mkuu.
 
aisee ww nibonge lamushamba!!! alafuuu bongeee lamzinziii ; darasa la 3 unajua mpenz ?? duuuuuu !!!!!!
 
::
Pole, they say 'You can't possess what really is not yours'
=
 
Ungeweza kufupisha kabisa hii story...Pole sana tafuta wa mjini
 
aisee ww nibonge lamushamba!!! alafuuu bongeee lamzinziii ; darasa la 3 unajua mpenz ?? duuuuuu !!!!!!

Huyu sio mshamba hata kidogo bali anajau mazingira halisi ya maisha ya vijijini! Na tofautisha kumpenda mtu na kumtamani kingono! Mim nikiwa darasa la kwanza nilimpenda classmate(binti) ambaye hesabu zilimsumbua. Kila alipokuwa akiadhibiwa na mwalimu kwa kukosa hesabu,mimi nilikuwa nalia kabisa kama napigwa mimi! Upendo ni toka utotoni!
 
Back
Top Bottom