Salam wakuu,
Je huyu mwanamke ananipenda kweli au ananidanya?
Ni kama miezi miwili sahivi toka nikutane na huyu mdada na tukaanzisha mahusiano ila shida ni kwamba tuko mbali, mimi nipo mkoani yeye yupo mjini na tuna wasiliana mara kwa mara.
Ila huwa kuna kitu najiuliza mbona mara nyingi simu yake ipo busy mda mwingi na nikimuuliza huwa ananiambia nisiwe na wasiwasi ila naona imekuwa ni tabia endelevu japo nimemwambia sipendi hicho kitu ila naona hanielewi.
Jamani nisaidieni kweli huyu anamapenzi na mimi au ananidanganya kwa upande wangu nampenda balaa.
Nawasilisha
Sent from my K-KOOL using
JamiiForums mobile app