Recent content by Terimu

  1. T

    Tangazo la ajira bomba la mafuta Tanzania - Uganda

    nssf bulding second floor
  2. T

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    hata weight ikizidi pia..sometimes inasababisha....
  3. T

    Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

    Sina sababu ya ku edit nadhani.....
  4. T

    Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

    Wote mliobeza nawashukuru sana... Ila siku yakiwakuta ndio mtaelewa nilikuwa namaanisha nini......!
  5. T

    Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

    Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..
  6. T

    Disadvantages Of Dating A Fat Woman!

    How fat is fat bwana na wewe? ukishamaliza za wanawake hamia kwa wanaume, kila mtu ana taste yake ktk dating.....!
  7. T

    Uwoya azimia mara nne

    Irene Uwoya mnafiki tu, kama angekuwa na uchungu sana asingewachukua wasanii wa kike rundo juzi waliokuwa msibani na kwenda kuselebuka nao usiku kucha kwenye ubatizo wa mwanae
  8. T

    Nafasi za kazi -utumishi

    Jamani naomba mtusaidie tunaotumia simu
  9. T

    Kupombeka na aibu ya mwanamke...!

    Umesahau kusema na matumbo yanakuwa makubwa
  10. T

    Kwanini Pinda kaenda kula X-mass wakati Dar kuna maafa?

    mwache akatambike bwana eee, umbea tu!
  11. T

    Wasanii wa Tanzania wanaswa kwenye mtego wa Cameron

    umbea na unafki tu!
  12. T

    Mkorogo wa Da Asha Baraka

    ukisikia umbea ndo huoooo!
  13. T

    Naomba ufafanuzi

    Dalili za mwanzo za ujauzito ni zipi na huwa zinatokea mimba ikiwa na umri gani?
Back
Top Bottom