Namba za huduma ni hizi 0712-112244,piga kwa maombezi na ushauri wa kiroho..Pia karibu ibadani ,Ukonga mazizini siku ya Jmapil ,ibada inaanza saa nne kamili..Pia jnne na Alhamis saa kumi hadi saa 12 .. Shalom
Mi sikuwa na taarifa hata ya hilo gazeti la Guardian, nashangaa nimetumiwa sms,na email juu kuhusu interview.kwenda kutafuta gazeti jina langu hakuna;sasa najiuliza je wako serios au?ndo kusema wengine ambao majina yao yapo gazetin na hawajataarifiwa wamepigwa chini na sisi wengine tumeitwa...
Nilidhani ni mimi peke yangu nilie-doubt huduma zao,mana nilienda hapo July,majibu ya utra sound yakaonyesha kuna tatzo..sasa nauwauliza way forwad Daktari hanipi ushauri wa maaana ndo kwanza ananiambia if im doubting niende nkaseek-second opinion another hospital!!!nkaona hapa...
Nasikitika sana nikiwa kama mteja wa NBC kwa miaka zaidi ya kumi kwa huduma zenu mbovu,zisizoeleweka wala kujli taratibu na sheria za Bank. Benki Kuu fanyen kazi yenu ipasavyo ku-supervise na ku monitor hii bank mana imekuwa kero. Kwanza ATM hazifanyi kazi tangu jumapili.mteja unataka kutoa...
aaah huu mpasho hatariiiiiiiiii,hebu tuambie mwenzetu ndoa ilikufuata vipi mlangoni???haluuu ,below thirty ulikuwa unajielewa au futat mkumbo??heheheiyaaaaaaaaaaa.la na yy ndo uamuzi wake kuolewa akiwa matured mumuwacheeeeeeee
nakumbuka kanisani Ngurumo Ya Upako-tuliambiwa Neno la kinabii kuwa tutoe sadaka ya kujiepusha na ajali maana zitafululiza,tamko hili lilitolewa kwenye mwezi June or July.. sasa naona huo Unabii..Mungu aturehemu na atuepushe wajaa wake
WANAJAMII FORUM mnaotafuta kazi mjihadhari na hili tapeli linaitwa Peter Myaka, na wenzie watatu,mmoja anajifanya Daktra wana project kuhusu mambo ya community na mwingine anajifanya mzungu..
Atakudanganya kwamba mshahara dola elfu nne na marupurupu kibao so be aware..Watakapopata namba yako...
Wacheni uongo kufilisika wapi?kwa taarifa yako huyo unayemsema anaitwa Sekela ni mtumishi mkubwa kwenye huduma ya ngurumo ya Upako ,na Mungu anamtumia sana,..maisha yake ni mazuri na anamtumikia Mungu katika roho na kweli,acha ushambenga
Geordavie alikuwa kwenye huduma yake hapo hapo kawe kwenye Jengo la Tanganyika packers na nyomi ilikuwa kibaoooooooo mi nilikuwepo viti zaidi ya mia sita vya kukodi na havijatosha achilia mbali viti mia nne vya kanisani..watu wakasimama bado..Ila upako tuliupokea kwa sana tu yani na waumini wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.