Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Mkuu na kibaya zaidi unaweza kukuta sataka zima ni an inside job - afisa/mafisa walio ajiriwa katika ofisi ya CAG ndio wanasambaza disinformation hizi kwa lengo la kumchafua CAG - wasitumie hasira zao za kushindwa kupewa Cheo cha u CAG kwa kimbilia kumchafua Prof. wakumbuke Rais ana uhuru wa kumtehuwa yeyote kutoka nje au ndani ya Ofisi ya CAG na silazima atakoke ndani ya Ofisi ya CAG, kwa hiyo msimpige vita Professor wa watu.Ajira zimekua kama kufanya biashara kuaharibiana ili mwingine apate soko..hata kama ni mtendaji mzuri..habari ipo ipo tuu harafu ipo front page...