Sharp lady
Senior Member
- Feb 23, 2011
- 129
- 13
Habarini za leo wana jamvi, napenda kuishauri menejimenti ya SANITAS hospital kujitafakari nakujirekebisha haraka kwani wanakoelekea ni kubaya. Madaktari wazuri waliokuwa wanapatikana pale sasa hivi hawapo, hospitali imekuwa CHAFU, pharmacy haina dawa wahudumu wa reception wanajibu hovyo.
Jitafakarini na mchukue hatua haraka. Mlifanikiwa kujulikana na kupata weteja wengi kipindi mlipokuwa mnawaleta maspecialist wengi, huduma za maabara na pharmacy zilikuwa za kiwango cha juu, sasa hivi mpo tu mnasukuma siku.