Recent content by Tempon

  1. Tempon

    MSAADA GTA VICE CITY

    Kitambo kweli Vice city, Tafuta GTA San Andreas, Hilo vice city graphics zake Bado sana kama Utorerent,Bitorent ingia Isohunt search izi game utazipata for free au oceanofgames.com
  2. Tempon

    Nafasi za masomo katika chuo cha maji

    Ivi Sinasikia Diploma mwaka huu wanakopeshwa na serikali?
  3. Tempon

    Mafundi umeme tukutane hapa

    Vout ya wapi base, collector au emmiter io ni PNP au NPN, Bipolar au FET
  4. Tempon

    Kupeleka majeruhi USA, Jambo JEMA sana lakini...

    Mkuu Hakuna cost yoyote serikali iliongia hio connection ya Nyalandu kaipata kwa wazungu ambao walifika hapo eneo la ajari mapema na kuna Mchungaji yuko state ndio amesimamia cost zote
  5. Tempon

    Halotel Kulikoni Jamani!

    Nimetoa chip yao Kwanza wacha niipe likizo
  6. Tempon

    Halotel Kulikoni Jamani!

    Nimejiunga boss na wamethibitisha kwa sms
  7. Tempon

    Physics ya A- Level inanitesa

    Mechanical si ndio boss?
  8. Tempon

    Dada yangu ni Mama Yangu

    Mkuu Compact umeandika Poa sana ni very touching story, Heshima kubwa elekeza kwa dada huyo mana ndio amekufanya unaonekana mtu miongoni mwa ulimwengu huu
  9. Tempon

    Halotel Kulikoni Jamani!

    Kwa faida ya nani niwasingizie asa?
  10. Tempon

    Halotel Kulikoni Jamani!

    Boss Torrent zipo ila bundle ya leo asubuhi wakati nainunua Hata Laptop sijaiwasha yani haikuwa connected popote
  11. Tempon

    Halotel Kulikoni Jamani!

    Mimi ndani ya lisaa gb imekata bila youtube, wala downloading yani kuperuzi tu
  12. Tempon

    Halotel Kulikoni Jamani!

    Natupa chip yao very soon, Humu wamo wacha nisikilizie majibu yao @Halotel Tanzania
  13. Tempon

    Halotel Kulikoni Jamani!

    Mkuu Simu hii yenye chip yao hata Instagram Situmii
  14. Tempon

    Halotel Kulikoni Jamani!

    Jana nimenunua Bundle la Buku 1 GB Line ya chuo haikuchuka Hata lisaa bundle likakata Nilikuwa nimeunga na PC internet Hotspot nkahisi labda window ina update automatic, Leo asubuhi nimeweka tena elfu moja nkajiunga 1 GB matokeo yake Hata lisaa halijaisha natumiwa text huna MB za kuperuzi...
  15. Tempon

    Midege ya Marekani yaanza kuingia Israel kujiandaa na ziara ya Trump

    POTUS ndio mtu anaelindwa zaidi ya chochote, Ivo ni haki yake Trump kwa hio security ukizingatia maadui wengi
Back
Top Bottom