Wewe kwani unaiona hiyo ni nini?Vout ya wapi base, collector au emmiter io ni PNP au NPN, Bipolar au FET
Gain ni ngapi? Tumia ß=Vo/VinJamani ebu nisaidieni formula volt out ya transister nitapataje
wacha kuvamia nyuzi za watuu...wee unaiona nini ileeVout ya wapi base, collector au emmiter io ni PNP au NPN, Bipolar au FET
Hebu funguka swali lako engineer....did you mean collector output voltage ? If so then Vc=IcRc....or did you nean volt out of open collector that one used in signal transmission, alarm, warning notification,control signals etc...if so then Vc = Io*(pull-out resistor) commonly used in industrial automation for driving a PLC...what was your qn?Volt out ya collector mwenye kujua
His queation seem to be apparently paradox...its not direct qn...electronics is more broaded...katika emitter na collector weka resista sawa ziwe 10k,
angalia transistor yako ina value ya hFE say hFE=50,
kama Vin ni 30mV , then Vout = hFE x Vin , 50 x 30mV = 1.5V
mchezo umeisha
note : hFE rounds off to ß