Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,292
- 1,482
Duh! Nakumbuka siku ya kwanza nimefika shule Advance apo nimepangiwa PCB, aisee nilikuwa sijawahi viona hivyo vitabu ile kuviona tu kwa washkaji nilitamani kulia. Advance sio ya mchezo kabisa yaan inataka moyo wa chuma kwakweli, hasa shule zetu za watoto wa mbwa ni shida kwakweliHalafu siri ya phys ya advance hakuna kitabu utakachokisoma kikawa kina concepts zote
Inabidi usome vitabu visivyopungua vitano ili upate concepts kila kona
Tafuta vitabu hivi
1)Chands
2)Nelkon
3)modern abc
4)Rogers Muncaster
5)Tom Duncan
6)Calculations for A lev phys Vol 1%2
7)Respicius Kiiza
8)Reviews