Recent content by TEMA

  1. T

    JamiiForums Tanzania To all Investors in Tanzania "Get out of Tanzania and Go F@#% Yourselves"!

    Baba mchungaji naona umechukia kweli kweli, naomba kukululiza sasa hawa wawekezaji wazalendo tuwafukuze waende wapi?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

    Dar es salaam in nini? Madini? Kilimo? Gas? Utalii?( Umewashinda), Dar ni old hot & humid Transit shanti town. Hata kuvua samaki wameshindwa. Tanzania inaweza kwenda bila dar. ha ha ha ha.......................
  3. T

    JamiiForums Tanzania Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

    Uchumi wa Dar es Salaam unatokana mainly na bandari, na ili bandari iweze kufanya kazi inategemea " Import/Export" Hivyo basi kama miondombinu ya bara " Hinterland" haifanyi kazi na bandari haitafanya kazi itakuwa kisiwa. Hivyo basi Dar inategemea bara zaidi kuliko bara inavyotegea Dar...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

    Vipi tunduma-sumbawanga-mpanda-kigoma? Hata kama ni single lane magari yasubiriane wakati wa kupishana?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji amshitaki Reginald Mengi, adai fidia Sh1/-

    jamani mlisikiliza kauli ya mengi ? Mengi hakumshutumu mtu, mengi aliwataja watu wanaoshutumiwa?????? hata hapa JF watu hao wanashutumiwa mtakubali kuwa mashahidi kuwa mnawashutumu watu hao?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Bado Anatusubiri Tukamwone

    Napendekeza TPN iwe chama cha sissa sasa!
  7. T

    JamiiForums Tanzania What happened to good governance?

    Hivi wana bodi wote ni wanahabari au ni achambizi?
  8. T

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Hivi makanjajnja ni akina nani? alie tamka au alie tafakari?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    jamani huu ni mkakati maalum wa kuchafuana hapa. Zengwe hili dhidi ya huyu mzee liliaza kupikwa tangu enzi ya hoja za Malima na Mengi. Kama mtakumbuka gazeti la Mwanahalisi liliandika habari za mkakati dhidi ya Sitta na huyu mzee akalipangua hili Jambo. Watu wale wale waliotaka kumtoa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    No it is destructive egagement? close down industries promote trade simple?????? mission eliminate the compititor in your trading activities??????
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Mimi ninashindwa kuwaelewa title ya thread ni ya RA halafu mnajadili kitu kinginge mbowe nayeye ana thread yake sasa ni nini anaepotosha?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Wakuu salaam je mnalifahamu hili? Tarehe 1 Feb 2005 Mheshimiwa Lawrence M. Gama [ CCM ] Mbunge wa Songea Mjini Aliuliza hivi Je, tangu Serikali ichukue hatua ya kubinafsisha viwanda ni viwanda vingapi vinafanya kazi na vingapi havifanyi kazi hadi sasa na ni vingapi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwanyika aongea...

    Jamani Jamani kusema huyu hapa katuibia ni kumfeedhesha MWIZI?????????? MWIZI??????????????. Asituambie mbinu wanazotumia sawa kabisa lakini atuambie ni nani kaiba huenda tukamsadia zaidi jinsi ya kupata hizo hela na mali zao ziko wapi. Si waliomba wenyewe kuwa mtu mwenye taarifa apeleke?
  14. T

    JamiiForums Tanzania ATCL: Another Richmond!

    Hivi ni lazima kweli watu wote hawa wawajibike kwa rais? Tuchukuwe mfano moja tu ( Tafadhali ninatoa mifano ya mfumo na siongelei watu) 1-Waziri wa fedha anachakuliwa na rais kwa mapemzi yake mwenyewe bila kuulizwa umemtoa wapi huyo mtu unaetaka kumpa madaraka makubwa namna hiyo? raisi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania ATCL: Another Richmond!

    Swali lako ni la msingi sana, sana na jibu lake siyo rahisi kama unavyotaka tutaje majina. Kwa sababu tatizo lililopo siyo watu ila ni mfumo wa uendeshaji wa mambo yetu. Tujadili mfumo wa uendeshaji mambo yetu kwanza tukishakubaliana tuwaweke watu wa kutuendeshea mambo yetu. Binaadamu wote...
Back
Top Bottom