Bro Mshana ningependa kumfaham vizur huyu jamaa Anayemiliki vituo vya mafuta vya VICTORIA.Nasikia jamaa ni mafia kishenzi yaan afu ni HASHIKIKI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda nae bafuni mkaoge wote then we doondosha sabuni afu mwambie aiokote we ukiwa myuma.Nadhani hadi hapo utakuwa umenielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kwa upande wangu huwa naona wanawake wa JF wanajielewa na wanauelewa mkubwa.Sijuwi kwa kuwa sijawahi tongoza mwanamke yeyote humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa kiume wanaoingia Pemba wakiwa wamenyoa kiduku au virasta uchwara, wananyolewa pale pale bandarini.Vijana wa kiume waliovaa vi jinsi vimewabana vigimbi hadi makalio,wana mikasi wanazichana. Sasa sijuwi munataka vijana wa kiume wajifananishe na wa kike ndo museme haki za Binadamu
Sent...
Majuzi kati alikufa ndugu yangu kwa ugonjwa wa corona.Tulienda kuzika makaburi ya kondo,Ndugu wa marehemu tuliambiwa tusizid saba.Basi walivofika walipofika na miili ya marehem na Ambulance yenye msalaba wa kijani,Cha kwanza tulichotahadhalishwa ni kutopiga picha na walikuwa makini na hilo...
Wabongo sisi bana sijuwi huwa tunataka tuambiwe nini.Ila mi nilichojifunza ni kwamba swala la kujifukiza wangesema wazungu tu. Basi kila mtu asingechalenge kama hivi ila kwakuwa aliyesema ni mswahili mwenzetu imekuwa kama mzaha. Sasa subiri watu yawapate watautafuta mvuke wenyewe.
Sent using...
Mkuu tiba za asili sio ushirikina tu kama ulivokalili.Mfano kama unaumwa mafua!ukachukua tangawiz asali limao na kitunguu Saum ili kujitibia.Hiyo ni tiba asili tena mzuri sasa ushirikina upo wapi hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.