Jipu la vipimio vya haraka vya corona (Rapid corona test kits)

Hero

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
3,919
Reaction score
2,843
Wandugu, katika kipindi hiki kwenye maambukizi ya virus vya corona, kumetokea watu wanafanya kila jinsi kujinufaisha kwa kutumia fursa hii! Kuna wengine wanatengeneza vifaa vya kujikinga, wengine tiba mbadala na hata wengine kuagiza vipimio!

Leo ngoja niseme kidogo kuhusu vipimio! Ni kweli upimaji wa maambukizi ni muhimu na zaidi sana majibu kupatikana kwa wakati! Kipindi hiki kumekuwa na msongamano wa watu kutaka kupima maambukizi.

Kwa bahati mbaya idaya ya vipimio na mahitaji ni tofauti sana. Kuna watu wamekuwa wakipita hospitali zetu za umma wakiwashawishi wakurugenzi kulidhia manunuzi na matumizi ya 'rapid corona test kits' ili kuharakisha upatikanaji wa matokeo ya uchunguzi na pia wigo! Japo kuwa hili inaweza kuonekana zuri machoni pa wengi, nyuma yake kuna matatizo makubwa! Ngoja nieleze mawili tu hapa:

1. Ubora wa kits zenyewe unatia shaka
- waagizaji hawana utaalamu wa kutosha juu ya kits zenyewe...pia njia za 'robbing' wanazotumia zinatia shaka sana

2. Ukweli wa matokeo ya vipimo hivi sio ya kuaminika!
Rapid test kits huwa zina tabia yakuwa na 'sensitivity' ya juu sana na hivyo kupelekea kutoa positive results kwa watu wasio na maambukizi! Hii ni hatari kwani ni njia rahisi ya kuleta taharuki mtaani. Matumizi ya hizo Rapid corona tests kits yanapaswa kuangaliwa upya!
 
Hizo rapid tests umeziona wapi? Zipo hapa nchini au unaongelea za malaria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli mtu anaweza kuongea tu out of blue?
Unapomuuliza eti "au ni za malaria?" unatumia akili gani?Unadhani hazijui hizi mRDT?

Rapid test zipo za aina nyingi si malaria peke yake mfano RPR kwa ajili ya kaswende
Hizo rapid tests umeziona wapi? Zipo hapa nchini au unaongelea za malaria?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wandugu, katika kipindi hiki kwenye maambukizi ya virus vya corona, kumetokea watu wanafanya kila jinsi kujinufaisha kwa kutumia fursa hii! Kuna wengine wanatengeneza vifaa vya kujikinga, wengine tiba mbadala na hata wengine kuagiza vipimio!

Leo ngoja niseme kidogo kuhusu vipimio! Ni kweli upimaji wa maambukizi ni muhimu na zaidi sana majibu kupatikana kwa wakati! Kipindi hiki kumekuwa na msongamano wa watu kutaka kupima maambukizi.

Kwa bahati mbaya idaya ya vipimio na mahitaji ni tofauti sana. Kuna watu wamekuwa wakipita hospitali zetu za umma wakiwashawishi wakurugenzi kulidhia manunuzi na matumizi ya 'rapid corona test kits' ili kuharakisha upatikanaji wa matokeo ya uchunguzi na pia wigo! Japo kuwa hili inaweza kuonekana zuri machoni pa wengi, nyuma yake kuna matatizo makubwa! Ngoja nieleze mawili tu hapa:

1. Ubora wa kits zenyewe unatia shaka
- waagizaji hawana utaalamu wa kutosha juu ya kits zenyewe...pia njia za 'robbing' wanazotumia zinatia shaka sana

2. Ukweli wa matokeo ya vipimo hivi sio ya kuaminika!
Rapid test kits huwa zina tabia yakuwa na 'sensitivity' ya juu sana na hivyo kupelekea kutoa positive results kwa watu wasio na maambukizi! Hii ni hatari kwani ni njia rahisi ya kuleta taharuki mtaani. Matumizi ya hizo Rapid corona tests kits yanapaswa kuangaliwa upya!
Zinauzwa wapi hizo mambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom