Recent content by Tecno_one

  1. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Halotel mtakuja jutia kwa uamuzi mliochukua, mamia ya watu wanahama halotel

    Me nilirudi Voda wiki iliyopita.....
  2. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu java na xml

    Ni editor IPI... Ambayo ni nzuri kwakufanya java
  3. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mashine ya kupasua mawe yawe kokoto

    D
  4. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mashine ya kupasua mawe yawe kokoto

    Naweza kupata process au namna yakufanya hvyo?? Au kama una mtu aliefanya hvyo nakufanikiwa unaweza kuni link nae ....
  5. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mashine ya kupasua mawe yawe kokoto

    Wakuu habari za wakati huu ni kwamba Nina shida na mwenye kujua au kufahamu zinapopatina hizi mashine pamoja na bei yake (total cost)
  6. Tecno_one

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana/Mwanamke kuwa na kiji-nyama katika tunda ni ugonjwa au maumbile tu!!?

    Mshana Jr tunaomba utuwekee link hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Roman Reigns Vs Samoa Joe

    Roman reigns ana deserve kwenye summer slam kwa kuangalia mechi ya jumapili iliyopita kwenye great ball fire .. Roman is the best wrestler ever Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
  8. Tecno_one

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi najutia kwa orodha hii ya wapenzi, wewe je?

    Umeshapima lakini??
  9. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwenye kufaham namna kubadilisha combination

    Shule aliyopangiwa haina hiyo combination ya CBG
  10. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwenye kufaham namna kubadilisha combination

    Yap yap ameyasoma na yote ameyafaulu
  11. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwenye kufaham namna kubadilisha combination

    Habarini wapendwa, poleni kwa shughuli za kulijenga taifa. Nadhani kichwa kinajieleza vizuri.. Nina ndugu yangu amepagiwa combination ya EGM sasa yeye anataka kwenda kusoma CBG, naombeni mwenye kujua taratibu zakubadilisha anijuze hapa!! Natanguliza shukrani[emoji120] [emoji120]
  12. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Inflation iliyopo sasa Tanzania

    Wakuu poleni kwa majukumu yakila siku iko hivi mwaka Jana nilikua na plan zakufungua biashara lakini kutokana na changamoto za hapa na pale nilishindwa, lkn Mungu mwema nimejitahidi mwaka huu naona kamtaji kangu kametimia lakini wasiwasi wangu ni juu ya huu mfumko wa bei uliopo hapa nchini kwa...
  13. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana wanasoma kweli au wanamambo yao?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. Tecno_one

    JamiiForums Tanzania wale wa physics pitieni hapa munipe jibu

    ³
Back
Top Bottom